franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,471
Hao kibokoHiyo kitu niliiona pale Mkwajuni Kinondoni, madalali wanabadilisha hizo namba nyuma ya gari. Niliona kwenye Rav4 J wakaweka L pale nyuma...
Mwanzo sikuelewa, baadae nikaona wanatoa VW Golf 2L wakachomeka 1.6L. Tangu hapo naona siwezi kuwaamini watz wenzangu.