Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,509
- 22,386
- Thread starter
- #21
Pia na vifaa vya mawasiliano kama redio za masafaa wawe nao wote na watembee na virungu.Unakuta ajali imetokea au tatizo ananza kupiga simu badala ya kutumia redio za masafa.
Ni fedha tu mkuu na bajeti lakini redio siku hizi zipo zile ambazo ni mobile pia yaani zina mawasiliano na kituo kilichopo karibu.
Pia polisi wanaweza kuingia mkataba na makampuni ya simu wakawa wanatumia mobile phones.