blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 11,845
- 14,726
Si habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha.
Kwanza hazizingatii umri maana zinarushwa muda wowote mkiwa mmeketi pamoja na familia.
Lakini mantiki ya kurusha uovu huu ni nini!?? Ni kuutarifu uma juu ya ukatili au kuwadhalilisha waliokutwa na masahibu hayo au kumuonesha mtenda kosa!? Alafu inasaidia nini ktk jamii! Mbona matukio ndo yanazidi.
Kila siku mko mnatizama TV yanazuka matukio hayo,yanayotia kinyaa.
Yani watoto wadogo wanalazimishwa kuona vitu vya aibu vya kawaida.
We need to think out loud on this!
Sijui kwakweli ila kuna shida mahala ktk media.
Posted.