Ushauri: Clouds 360 morning

Habari na utani kidogo ndio habari ya mjini angalia clouds 360, BBC swahili na Azam news hizi ndio taarifa Sio mtu anakukunjia sura mwanzo mwisho:(:mad:
 
Hahah vita yako na hili ndugu yako nakumbuka ilikua wakati wa uchaguzi dah aisee ,akiwa na ndugu yake mwingine anaitwa Duppy nini sijui avatar yake ina Ak- 47 ,popoma hana shida ana roho yake nyeupe sema shida ni makuzi ya uswahilini halafu anatudanganya Mnyarwanda
Ila ni bonge moja la Entertainer
Hahahahahaaa anajiita popoma DuppyConqueror ....
Daaaah umenikumbusha mbali sana enzi ya uchaguzi.
Ila ujue nini?Hata DuppyConqueror ni mtu poa,apart from upopoma wake wa Lumumba namkubali na kumpenda sana,ana roho nzuri,yuko smart (upstair) basi tu.
Halafu ujue huyu alikuwa CDM hapo kabla ila aliamua kufuata nyayo za usaliti za yule babu mzinzi.
 
Hahaha bora tu kipindi cha uchaguzi sio zaidi ya miezi miwili maana ingekua zaidi ya hapo walahi Jamii Forum ingefungiwa maana ni mwendo wa Mitusi tu ,ni kweli Duppy yuko smart sema ndio hivyo ,dhambi ya usaliti ni mbaya ,Ccm sijui wanawalisha nyama za watu hawa viumbe ?
 
Kama Unataka Habari Tegea Mimacho Yako TBC1 Na ITV Ila Kwa Sisi Wadau Wa Clouds Tv Hasa 360 Tunakipenda Kwakuwa Pale Tunapata Kitu Kiitwacho Kitaalam INFOTAINMENT. Na Pengine Nikuibie Tu SIRI Hicho Kipindi Kinatazamwa Na Watanzania Wengi Kuliko Hata Wale Wanaoangalia Parliamentary Sessions. Katika Journalism Hasa BROADCASTING Kuna Kitu Kimoja Kinaitwa " KISS " Kikimaanisha " Keep It Simple But Stupid " Ikimaainisha Katika Utangazaji Wa Leo Ambao Dunia Imebadilika Na Watu Wapo Busy Na Maisha Unatakiwa Kuwa MBUNIFU Kwa Kuandaa KIPINDI Ambacho Hata Kama Ni Cha Kuhabarisha au Kuwafahamisha Watu Basi Kifanye Kiwe Chepesi Tu Halafu Unaweka Kidogo Mzaha Mzaha Ili Kutomfanya Msikilizaji au Mtazamaji Aboreke. Ila Mbinu Hiyo Ya KISS Haitumiki Katika News Bulletin. Mfano Mzuri Tu Wa KIUHALISIA Ambao Naamini Hata Wewe Umeshakutana Nao Ni Kwamba Hata Mashuleni au Vyuo Vikuu Walimu au Wahadhiri Ambao Wako Very SOBER Wanafunzi Huwa HAWAWAELEWI Katika UFUNDISHAJI Wao Na HUFELI Pia MASOMO Yao Lakini Jaribu Kuulizia Mwalimu au Mhadhiri Ambae Yupo SIMPLE Na Ambaye Hupenda Sana KUCHEKESHA Wanafunzi Wake Na Kuingiza UKOMEDI Kidogo Wa Hapa Na Pale Kwanza Hilo Darasa Muda Wote Litakuwa LINACHANGAMKA Halafu Huyo Mwalimu au Mkufunzi Atakuwa ANAPENDWA Na Hata Wale Ambao Walikuwa WATORO au WATUKUTU Wa KUTUKUKA Lakini Pia Amini Usiamini Hata UELEWA Na UFAULU Wa Hao Wanaofundishwa Utakuwa Juu.
Clouds hii ndo tunayoitaka, wanaongeaga pumba na vichekesho sometimes! Kweli mtu ukitaka habari nyingi wee jitose itv au tbc, huku watuache sisi.
Mi binafsi nakipenda hiki kipindi, simple ila meaeji inafika fresh kabisa.
 
Wagombanao Ndiyo Wapatanao Mkuu. Nakupenda Sana Comrade UncleBen Kwani Nimegundua Una AKILI Za Kitutsi Na Kiyahudi Kama Mimi Japo Uko Chama Kile Cha " CHOROKO ". Ila Mkuu Hata Nifah Kapata SHURUBA Mno Na Mimi Na Hatimaye Leo Ni MARAFIKI WAZURI WA KUTUKUKA. Kifupi Nikuibie Tu SIRI Ambayo NIKIRI Wazi Kuwa Hii Mbinu Humu JF Ni Wewe Tu Uliyeigundua Ambapo Huwa Napenda KUMCHOKONOA Mtu Halafu Nione Ataniogopa au Ataendeleza Ligi Na Mimi Na Nikiona Kuwa Bado Unapambana Na Mimi Huwa NAFURAHI Mno Na Naanza Kuamini Kuwa Sasa Nina JEMBE. Huwezi Amini Mkuu Kuanzia Wewe, Bidada Huyo Niliyemtaja Hapo, FaizaFoxy, miss chagga Na Mussolin5 Bila Kumsahau Rafiki Yangu Ambaye Mara Ya Mwisho TULICHARURANA Humu Na AKAUFYATA Kabisa Kwangu kadoda11 Wote Nyie TUMESHAPIGANA MABITI SANA Humu Na Leo TUNAPENDANA Tu. Mimi Huwa Napenda Tu KUMPIGA Mtu MKWARA Mkuu Ila Ni Mtu Mmoja Safi Sana Na Nisikufiche Napenda Mno UTANI Na Kuwaburudisha Watu Kwa UKOMEDI Wangu Japo Sometimes Huwa Nagonga Penyewe! Kwa Niaba Yako Kama Kuna Member Yoyote Nilishamkwaza Kwa UPOPOMA Wangu USIOTUKUKA Naomba Wanisamehe Ila Nawapenda Members Wote Wa JF Aminini Hivyo.
Mmhhhh!!!! Kwaresmaaaaa??!!
 
Clouds ni kwa ajili ya vijana, wapenda utani na mizaha, huku wakipata habari...
 
it is realy boring.kama ninamuda huwa naweka cctv/russia today/bbc.
-they act too childlish.
 
Kama Unataka Habari Tegea Mimacho Yako TBC1 Na ITV Ila Kwa Sisi Wadau Wa Clouds Tv Hasa 360 Tunakipenda Kwakuwa Pale Tunapata Kitu Kiitwacho Kitaalam INFOTAINMENT. Na Pengine Nikuibie Tu SIRI Hicho Kipindi Kinatazamwa Na Watanzania Wengi Kuliko Hata Wale Wanaoangalia Parliamentary Sessions. Katika Journalism Hasa BROADCASTING Kuna Kitu Kimoja Kinaitwa " KISS " Kikimaanisha " Keep It Simple But Stupid " Ikimaainisha Katika Utangazaji Wa Leo Ambao Dunia Imebadilika Na Watu Wapo Busy Na Maisha Unatakiwa Kuwa MBUNIFU Kwa Kuandaa KIPINDI Ambacho Hata Kama Ni Cha Kuhabarisha au Kuwafahamisha Watu Basi Kifanye Kiwe Chepesi Tu Halafu Unaweka Kidogo Mzaha Mzaha Ili Kutomfanya Msikilizaji au Mtazamaji Aboreke. Ila Mbinu Hiyo Ya KISS Haitumiki Katika News Bulletin. Mfano Mzuri Tu Wa KIUHALISIA Ambao Naamini Hata Wewe Umeshakutana Nao Ni Kwamba Hata Mashuleni au Vyuo Vikuu Walimu au Wahadhiri Ambao Wako Very SOBER Wanafunzi Huwa HAWAWAELEWI Katika UFUNDISHAJI Wao Na HUFELI Pia MASOMO Yao Lakini Jaribu Kuulizia Mwalimu au Mhadhiri Ambae Yupo SIMPLE Na Ambaye Hupenda Sana KUCHEKESHA Wanafunzi Wake Na Kuingiza UKOMEDI Kidogo Wa Hapa Na Pale Kwanza Hilo Darasa Muda Wote Litakuwa LINACHANGAMKA Halafu Huyo Mwalimu au Mkufunzi Atakuwa ANAPENDWA Na Hata Wale Ambao Walikuwa WATORO au WATUKUTU Wa KUTUKUKA Lakini Pia Amini Usiamini Hata UELEWA Na UFAULU Wa Hao Wanaofundishwa Utakuwa Juu.
Huyu atakua ni Mmoja Wa Muhusika Hapi studio za Clouds ... verry happy Ujumbe wangu kuwafikia moja kwa moja ..hope mtafanyia kazi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom