Point uliyotoa inavirutubisho vyote..Afuate moyo na dhamira yake inavyomsukuma hasa ukizingatia anataka kufanya kazi ya Yesu Kristu, sioni ubaya.
Wazazi waache tamaa ya mali kwani hapa duniani ni wapita njia tu, na kijana ajue kuwa siku ya kufa atakufa peke yake na si na wazazi, hivyo suala la kuchagua njia ya Mungu ni muhimu kuliko hayo maoni ya wazazi wake.
Hawezi kuwa padri bila wazazi kuridhia.
Atafute namna ya kudili na wazazi ili wamwelewe.
BTW, hii ID yako mkuu LAMBOFGOD ina maana gani?
Mwana Kondoo wa Mungu...
Kwanini wasimtafutie kazi wao wenyewe hao wazazi kama ni rahisi? Wazazi wapuuzi kama hawa ndio wanasababisha mambo yawe magumu kila siku wakiwaaminisha watoto wao kuwa wasifanye mengine wataajiriwa tu.Kuna kijana jirani yangu anataka akasomee mambo ya upadri lakini wazazi wake wamemkataza kwa kila sababu wanazojua wao na wanamwambia atafute kazi ili akaajiriwe.
Sasa jamaa kaja kwangu, me of course “nimemshauri aendelee na lengo lake ili shauku ya moyo wake itimie kwa sababa swala la kazi si la mzazi ila mhusika mwenyewe” am I wrong katika ushauri huo?
Karibu kwa maoni na ushauri based on biblical evidences ili wazazi wake wasione kama jamaa anawadharau.
atii tu ushauri wa wazazi kwani wanaona mbali,huyo kijana hata apande juu ya kichuguu hawezi ona mambo ya mbeleni ambayo wazazi wake wanayaona kwa sasaKuna kijana jirani yangu anataka akasomee mambo ya upadri lakini wazazi wake wamemkataza kwa kila sababu wanazojua wao na wanamwambia atafute kazi ili akaajiriwe.
Sasa jamaa kaja kwangu, me of course “nimemshauri aendelee na lengo lake ili shauku ya moyo wake itimie kwa sababa swala la kazi si la mzazi ila mhusika mwenyewe” am I wrong katika ushauri huo?
Karibu kwa maoni na ushauri based on biblical evidences ili wazazi wake wasione kama jamaa anawadharau.
bwana yupi?Mtumishi wa Bwana/Kuhani
hivi ni bibilia ip inasema padre mpaka ale kiapo cha useja.kama siyo kuwa minya haki yao ya msingi kuwa na familia na kula mema ya nchiUpadre lazima ule kiapo cha useja...Ndio maana tunasema ni wito..
hauwowiHivi ukiwa padre unakuaje?
Mimi sijaona huo upuuzi wa hao wazazi kama wamemtafutia na hataki anataka upadre utamfanyajeKwanini wasimtafutie kazi wao wenyewe hao wazazi kama ni rahisi? Wazazi wapuuzi kama hawa ndio wanasababisha mambo yawe magumu kila siku wakiwaaminisha watoto wao kuwa wasifanye mengine wataajiriwa tu.
Yesu Kristo...Kwani vipi..?bwana yupi?
Atakama ni yeye, mada aliyoileta kwani inakupasa kufanya nini..?So kama hiyo ndo maana ya ID yake, anaonaje kutueleza kwamba ni yeye muhusika?