Ushauri: Anasema nisubiri aolewe kisha afanye visa aachwe ndio tuwe pamoja

Kama huyo mwanamke yuko comfortable kwa uamuzi huo bac na ww oa na yy aolewe kisha wote mfanye visa kwenye ndoa zenu then muoane tena, mkuu za kuambiwa changanya na zako
 
m
Anakupenda wapi wewe!

Huyo kategea, yuko Mguu mmoja ndani Mguu mmoja nje.

Yaani huko mambo yakiharibika, ana uhakika anayo sehemu nyingine ya kuegemea, ambayo ni kwako.

Kingine,

Huyo Mwanamke hafai hata kidogo itakapotokea yuko na wewe, na kukawa na jamaa mwingine mwenye maslahi nae, kaa ukijua na wewe utafanyiwa vituko kama alivyofanyiwa mwenzio na kisha yeye kwenda kuegemea sehemu nyingine.

Kifupi achana nae.

Huyo Demu pasua kichwa
mkuu hujapona tu...
rudi kwa mganga bhana
 
Nadhani suala hili niliwahi kukutana nalo nilipokuwa na miaka 21 hivi kwa vile niseme tu nilikuwa na akili kama zako za sasa sikuona,
Ukweli uko hivi huyo mwanamke Kwanza anakwambia yeye anaolewa kwa kulazimishwa wala hataki,
Subiri aolewe ili afanye visa aachwe, ukweli kuwa una create problem isiyo na maana,
Mchezo mzima anaucheza peke yake, tafuta watu wa karibu wa huyo jamaa anaetaka kumuowa jaribu kuyachimba utayajua mengi, toka nje ya box la kupenda utauona ukweli kwa upana,

mkuu tayar jibu nshalipata atapgwa nje ya box tu
 
Ila we jamaa wewe bana,akiolewa na huyo jamaa akanogewa asifanye visa utafanyeje maana anayasema hayo kwa kuwa jamaa hajamlamba na hawajaanza kuishi wote.....Achana nae huyo tafuta wengine mbona mabinti wapo wengi tu? Anaeza fanya hivyo kwa jamaa akaja kwako akaona bora arudi huko pa mwanzo sijui utafanyeje?

Anyway yote kwa yote ni wewe mwenyewe!!!
 
Pole kaka yangu, nikwambie kitu ni kwamba binti hakupendi ndio maana alikubali MTU mwingine atoe posa wakati wewe bado mko nae.
Cha msingi aamue moja kucancel ndoa aolewe na wewe au akuache for good aendelee na jamaa.
Ila kwa kusema inamsibiria aachoke ndo umuoe ni umburura wa hali ya juu.
 
Mmh hii nayo kali ya kufungia mwaka. Sijawahi ona mtu anaplan kuolewa kisha aachike halafu akaolewe na mwingine.
 
Kuna majamaa wengine Ni wavumilivu huyo binti atafanya vituko vya kila aina ila jamaa hatatoa talaka utashangaa na watoto wanazaa wewe utaachwa unasubiria bombadia kivukoni
 
Back
Top Bottom