Ushahidi wa wazi kwa uvamizi wa Clouds TV

Hiyo ni michezo ya watoto wa mjini, ni ishu iliyopangwa...baada tu ya tukio waliopanga ambao ni ruge, mange na gwajima wakaanza kupovuka . na kwakuwa misukule ilikuwa brainwashed ikadandia gari kwa juu. ila mwakyembe atawaanyoosha
 
Umeongea ukweli also ni vitu sensible ambavyo kila mtu mwenye akili timamu anatakiwa kureason kuhusu uliyoongea.

Usisikilize hawa nyumbu wa JF bcz ni nyumbu wazee.
Huwez kudanganya mtu mwenye akili kwa video kama ile.
Nawewe unajiona unajua kutengeneza hoja mpaka uite watu nyumbu!

Unaonyesha jinsi gani ulivyomtupu kichwani
 
hata mahotelini cccvt camera zinafungwa kwenye corridors na halls, sio vyumbani! Hata ile clip maarufu wakati wa uchaguzi ya dr mihogo, haikuonyesha ya chumbani, ilionyesha ya koridoni!

Studio sio hotelini. Humo kuna kamera zinazorekodi mwenendo wa watangazaji. Hotelini unategemea waweke kamera vyumbani ili warekodi nini? Porno au?
 
Huelewi nini? Ucha kujidhalilisha. Cctv zinakuwa nyingi, angle mbalimbali. Ndani lazima zipo nyingine, ndio maana ya mwendelezo. Think big
Soo mkuu point yako kubwa ni kwa nini imeoneshwa video za cctv za reception tu???
 
Uko kwenye ndoto nzito sana na hatukuamshi ili tusije tukalala sisi
 
Wakuu, naomba Leo tuweke ushabiki pembeni tudadavue kama GT uvamizi wa RC pale Clouds TV. Naomba tuangalie mazingira yote kwa uwazi kabisa tuje na conclusive evidence juu ya tukio hilo la kulaaniwa.

1. CCTV FOOTAGE
Anaonekana mkuu wa mkoa akiingia kwenye mlango wa kwanza akifuatiwa na mtu mmoja aliyevaa kiraia hana silaha kisha askari askari mwenye silaha aliyefunga mlango huo. Jumla ya walioingia ni watatu. Halafu anaonekani mkuu wa mkoa akifungua mlango wa pili (wa kuingilia studio?). Anapoanza kuingia ndani footage inakoma

2. USHAHIDI WA MAZINGIRA
Masaa kadhaa baadaye taarifa zinazagaa kwamba clouds wamevamiwa na mkuu wa mkoa akiwa na askari wanane wenye silaha na kuwapiga vibaya sana licha ya kuwatisha watangazaji. Na hapa ndipo shida inapoanzia

...ile footage haithibitishi tykio polite la uvamizi.
*Ukiitazama haioneshi ubabe wowote kwenye kuingia ndani studio. RC aliingia kwa kufungua mlango taratibu

*Nje walikuwapo walinzi ambao hawakushuhudia nia yoyote ya uvamizi mpaka pale walipopigiwa simu na Ruge (aliyekuwa nyumbani kwake). Wao walimwona RC akiingia kawaida tu hapo studio.

*Mazingira ya studio ya tv huwa na camera nyingi tu. Ni ajabu sana kusiwe na kipande japo kifupi cha kile kilichotokea ndani ya studio. Hats hiyo footage, ni kwa nini inakoma pale tu RC anapoanza kuingia ndani? Je, ni kweli kuwa clouds wameweka camera hapo mlangoni tu? Au labda mkuu wa mkoa aliamuru kamera zizimwe kabla ya kuingia ndani?

*Kama kamera zilikuwa mbovu walau tungepata hata audio ya kile kilichitokea ndani basi. Sio masimulizi tu. Hapo ni studio na vifaa vyote vipo. Kwa nini tusadiki masimulizi?

3. RIPOTI YA KAMATI
Kamati ilitoa ripoti kwamba RC alivamia akiwa na askari watano? na si nane. Pia wafanyakazi hawakupigwa kama ilivyoarifiwa hapo awali. Ni kwa nini ilitolewa taarifa kinzani hapo awali?

4. URAFIKI WA RC NA CLOUDS
Ruge anakiri kuwa hawa ni marafiki wa siku nyingi. Tena anatoa kauli tata kuwa RC anatabia ya kwenda hapo studio kupiga stori. Swami hapa, je, kila anapokwenda hutumia utaratibu gani kuingia studio? Je, huwa anaacha wapi walinzi wake? Kuna rekodi yoyote ya clip za cctv za huko nyuma ili tuone ilivyokuwa?

5. Kilichopo mpaka sasa ni ushahidi wa masimulizi ya wanaodaiwa kuvamiwa. Ushahidi wa clip ulikuwa na lengo la kuandaa akili ili wasikilizaji wafanye mwendelezo wa uvamizi akilini mwao. Mtu wa kwanza kabisa out I pot I urbanizing alipaswa kuwa mlinzi.

Ni mtazamo wangu tu, baada ya tafakuri ya kina. Twende na constructive criticism kama nilivyofanya mimi, ile timu matusi mkae kando kuruhusu mjadala. Nawasilisha.
Sio kazi, imebaki kazi ya Mh. Makonda akanushe au akubali.
Acha maneno.
 
Sasa mkuu kipande kilichoonekana si ndo kile cha cctv ya reception

Unavolalamika eti alipoingia ndani studio inakata apo ndo umejishusha kabisa ulitaka iendelee kivipi wakati cctv inanasa tukio la eneo husika

Ila umechelewa
Kwani CCTV ipo moja tu mjengo mzima?
 
Soo mkuu point yako kubwa ni kwa nini imeoneshwa video za cctv za reception tu???
Ziko pointi kadhaa mkuu, pitia hoja zangu. Pia nina maswali haya :

**kwa Gwajima aliripoti kuvamiwa na kupigwa watangazaji? Nani aliyewasiliana naye kumpa habari ili alipue? Was it a coordinated move?

**kwa nini clouds hawataki kuripoti tukio hili polisi? Kwa nini walisubiri liwe magnified na mitandao kwanza? Je, yawezekana walikuwa wanapima upepo? Je kuna yawezekana kuna ofisi ambayo walitarajia itaingilia kati ili kulishughulikia suala hili tofauti na vyombo husika?

**Kwa nini ililazimu waziri kukemea vikali hata kabla ya kujiridhisha usahihi wake? Kwa nini jinai hii haikuhusisha vyombo rasmi vya uchunguzi? Kwa nini haikufanyika coordination na mamlak teuzi ya RC? Kulikuwa na haraka gani ya kukimbilia kwenye press utadhani studio iliteketezwa? What is behind all this!?
 
Nawewe unajiona unajua kutengeneza hoja mpaka uite watu nyumbu!

Unaonyesha jinsi gani ulivyomtupu kichwani
Hahahahhh mjomba haujazoea tu jomba. Sasa kama mnasheherekea mambo kisa gwajima kasema or mange kasema sasa mtakuwa nan kama syo nyumbu bcz nyumbu huwa hawajiuliz mara mbili.
 
Wakuu, naomba Leo tuweke ushabiki pembeni tudadavue kama GT uvamizi wa RC pale Clouds TV. Naomba tuangalie mazingira yote kwa uwazi kabisa tuje na conclusive evidence juu ya tukio hilo la kulaaniwa.

1. CCTV FOOTAGE
Anaonekana mkuu wa mkoa akiingia kwenye mlango wa kwanza akifuatiwa na mtu mmoja aliyevaa kiraia hana silaha kisha askari askari mwenye silaha aliyefunga mlango huo. Jumla ya walioingia ni watatu. Halafu anaonekani mkuu wa mkoa akifungua mlango wa pili (wa kuingilia studio?). Anapoanza kuingia ndani footage inakoma

2. USHAHIDI WA MAZINGIRA
Masaa kadhaa baadaye taarifa zinazagaa kwamba clouds wamevamiwa na mkuu wa mkoa akiwa na askari wanane wenye silaha na kuwapiga vibaya sana licha ya kuwatisha watangazaji. Na hapa ndipo shida inapoanzia

...ile footage haithibitishi tykio polite la uvamizi.
*Ukiitazama haioneshi ubabe wowote kwenye kuingia ndani studio. RC aliingia kwa kufungua mlango taratibu

*Nje walikuwapo walinzi ambao hawakushuhudia nia yoyote ya uvamizi mpaka pale walipopigiwa simu na Ruge (aliyekuwa nyumbani kwake). Wao walimwona RC akiingia kawaida tu hapo studio.

*Mazingira ya studio ya tv huwa na camera nyingi tu. Ni ajabu sana kusiwe na kipande japo kifupi cha kile kilichotokea ndani ya studio. Hats hiyo footage, ni kwa nini inakoma pale tu RC anapoanza kuingia ndani? Je, ni kweli kuwa clouds wameweka camera hapo mlangoni tu? Au labda mkuu wa mkoa aliamuru kamera zizimwe kabla ya kuingia ndani?

*Kama kamera zilikuwa mbovu walau tungepata hata audio ya kile kilichitokea ndani basi. Sio masimulizi tu. Hapo ni studio na vifaa vyote vipo. Kwa nini tusadiki masimulizi?

3. RIPOTI YA KAMATI
Kamati ilitoa ripoti kwamba RC alivamia akiwa na askari watano? na si nane. Pia wafanyakazi hawakupigwa kama ilivyoarifiwa hapo awali. Ni kwa nini ilitolewa taarifa kinzani hapo awali?

4. URAFIKI WA RC NA CLOUDS
Ruge anakiri kuwa hawa ni marafiki wa siku nyingi. Tena anatoa kauli tata kuwa RC anatabia ya kwenda hapo studio kupiga stori. Swami hapa, je, kila anapokwenda hutumia utaratibu gani kuingia studio? Je, huwa anaacha wapi walinzi wake? Kuna rekodi yoyote ya clip za cctv za huko nyuma ili tuone ilivyokuwa?

5. Kilichopo mpaka sasa ni ushahidi wa masimulizi ya wanaodaiwa kuvamiwa. Ushahidi wa clip ulikuwa na lengo la kuandaa akili ili wasikilizaji wafanye mwendelezo wa uvamizi akilini mwao. Mtu wa kwanza kabisa out I pot I urbanizing alipaswa kuwa mlinzi.

Ni mtazamo wangu tu, baada ya tafakuri ya kina. Twende na constructive criticism kama nilivyofanya mimi, ile timu matusi mkae kando kuruhusu mjadala. Nawasilisha.
Unawazimu mkuu....wameamja kumstiri tu ndo mana wakatoa hko kpande ambacho kdgo kpo safi ila walikitoa ili asije kubsha kuwa hajavamia clouds....kwa taarifa nlizonazo toka kwa mtu wa ndan kabsa(clouds)
 
Akili yako ndogo.....unataka kuwaongoza wenye akili zaidi yako....watch it...! Not to that extent....!
 
Hakuna sababu inayoweza kujustify mtu awe wa cheo chochote kile kuingia kimabavu na silaha za moto kwenye ofisi yoyote ile moreover ofisi za chombo cha habari
 
Hyo ndio imetoka hvo. Hawana cctv wala ushahidi wowote. Waliamua kuwadanganya wajinga kwa ushahid dhaifu. But hvo ndio siasa ilivyo.
Yan ww ni mmoja kati watz wasio na akili wengi....nyie ndo mnaotuchelewesha.....magu unavomjua ingekuwa uongo angewanyamazia clouds??acha wazimu fikiria vzur mkuu
 
Wakuu, naomba Leo tuweke ushabiki pembeni tudadavue kama GT uvamizi wa RC pale Clouds TV. Naomba tuangalie mazingira yote kwa uwazi kabisa tuje na conclusive evidence juu ya tukio hilo la kulaaniwa.

1. CCTV FOOTAGE
Anaonekana mkuu wa mkoa akiingia kwenye mlango wa kwanza akifuatiwa na mtu mmoja aliyevaa kiraia hana silaha kisha askari askari mwenye silaha aliyefunga mlango huo. Jumla ya walioingia ni watatu. Halafu anaonekani mkuu wa mkoa akifungua mlango wa pili (wa kuingilia studio?). Anapoanza kuingia ndani footage inakoma

2. USHAHIDI WA MAZINGIRA
Masaa kadhaa baadaye taarifa zinazagaa kwamba clouds wamevamiwa na mkuu wa mkoa akiwa na askari wanane wenye silaha na kuwapiga vibaya sana licha ya kuwatisha watangazaji. Na hapa ndipo shida inapoanzia

...ile footage haithibitishi tykio polite la uvamizi.
*Ukiitazama haioneshi ubabe wowote kwenye kuingia ndani studio. RC aliingia kwa kufungua mlango taratibu

*Nje walikuwapo walinzi ambao hawakushuhudia nia yoyote ya uvamizi mpaka pale walipopigiwa simu na Ruge (aliyekuwa nyumbani kwake). Wao walimwona RC akiingia kawaida tu hapo studio.

*Mazingira ya studio ya tv huwa na camera nyingi tu. Ni ajabu sana kusiwe na kipande japo kifupi cha kile kilichotokea ndani ya studio. Hats hiyo footage, ni kwa nini inakoma pale tu RC anapoanza kuingia ndani? Je, ni kweli kuwa clouds wameweka camera hapo mlangoni tu? Au labda mkuu wa mkoa aliamuru kamera zizimwe kabla ya kuingia ndani?

*Kama kamera zilikuwa mbovu walau tungepata hata audio ya kile kilichitokea ndani basi. Sio masimulizi tu. Hapo ni studio na vifaa vyote vipo. Kwa nini tusadiki masimulizi?

3. RIPOTI YA KAMATI
Kamati ilitoa ripoti kwamba RC alivamia akiwa na askari watano? na si nane. Pia wafanyakazi hawakupigwa kama ilivyoarifiwa hapo awali. Ni kwa nini ilitolewa taarifa kinzani hapo awali?

4. URAFIKI WA RC NA CLOUDS
Ruge anakiri kuwa hawa ni marafiki wa siku nyingi. Tena anatoa kauli tata kuwa RC anatabia ya kwenda hapo studio kupiga stori. Swami hapa, je, kila anapokwenda hutumia utaratibu gani kuingia studio? Je, huwa anaacha wapi walinzi wake? Kuna rekodi yoyote ya clip za cctv za huko nyuma ili tuone ilivyokuwa?

5. Kilichopo mpaka sasa ni ushahidi wa masimulizi ya wanaodaiwa kuvamiwa. Ushahidi wa clip ulikuwa na lengo la kuandaa akili ili wasikilizaji wafanye mwendelezo wa uvamizi akilini mwao. Mtu wa kwanza kabisa out I pot I urbanizing alipaswa kuwa mlinzi.

Ni mtazamo wangu tu, baada ya tafakuri ya kina. Twende na constructive criticism kama nilivyofanya mimi, ile timu matusi mkae kando kuruhusu mjadala. Nawasilisha.
Mhmmm! Mie naona Ruge na Bashite hawakujadiliana vizuri juu ya maada ya Niki Minaj kuwa na Tigo bandia au ya ukweli, basi wakabishanaaaa mpaka Bashite akamtishia kumtaja Ruge kwenye orodha na Ruge vilevile akamtishia na kesi ya kuvamiwa! Unaonaje hiyo theory?? hahaha

RC anabidi ajue mipaka zake, ingekuwa nchi iliyoendelea basi cha kwanza angelazimishwa kujiuzulu na baadae ndio kamati zingeundwa kuiangalia hii kesi. But first he has to stepped down, the act of entering a media outlet with Guns is an act of "Terrorism"!!
 
Umepovuka vya kutosha mkuu, ila kama ulimsikiliza Ruge utakua ulimsikia aliposema kwamba hiyo clip inayoonekana si management ya clouds ambayo imei-release na hajui ni nani ambaye amefanya hivyo kutokana na wafanyakazi wengi kuwa na access ya sehemu ambazo panahifadhiwa hizo record za cctv.

La pili kwanini aweke kila kitu hadharani? Ushahidi mwingine unapaswa kutolewa mahakamani. We shukuru Mungu tu hao clouds wameamua kumfanyià tu ubinadamu kutokwenda kumshtaki.

Hakuna ubinadamu hapo..
 
Back
Top Bottom