kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,193
- 12,172
Kwa kweli inatia hasira sana CCM kwa sanaa na unafiki hawajamboNimeshangazwa walewale waliokuwa wanapinga sana hata kumtukana Wenje alipotoa mpaka machozi Bungeni Leo wapo wanasifia jambo lilelile walilo kataa na kusema ni majungu.
Hili suala lingeachwa lishughulikiwe na Halnashauri hii mpya orodha ingekuwa ndefu sio Kabwe pekee na sasa wanetengeneza mtandao wa kujilinda, ukiigusa mtaambiwa inashughulikiwa na Ofisi ya Rais