I don't get "taken" people who flirt online.
I'm not a flirt anyway so maybe it's just me who doesn't get it.
It's very disrespectful. I wouldn't be pleased at all if I learn that he does it.No, you are absolutely right. The people who is say flirting is ok are the ones who say wants to justify wrong as right. But deep inside they know that flirting is wrong, it always has been and always it will be.
It's very disrespectful. I wouldn't be pleased at all if I learn that he does it.
It's how michepukos begin
Nataka nione jibu la swali hili....Je kipindi kile ambacho kulikuwa hakuna mitandao,hao wanandoa walikuwa wana punguza misongo ya mawazo wapi?
Je kipindi kile ambacho kulikuwa hakuna mitandao,hao wanandoa walikuwa wana punguza misongo ya mawazo wapi?
Wanawake wa enzi hizo walikuwa wanakubaliana na hilo, walikuwa hawana GUBU, ila wa siku hizi tangu mtoke China mnajifanya wajuaji sana. Ndiyo maana mnaachika sana na mnamisongo ya mawazo sana.Je kipindi kile ambacho kulikuwa hakuna mitandao,hao wanandoa walikuwa wana punguza misongo ya mawazo wapi?
Mmmh hauvumiliki honestly, tunajitoaga tu ufahamu basi . Ukimkuta partner wako anaflirt ndo utaelewa vizuri how it feels (mkuki kwa nguruwe).Yaani umenielewa vyema kabisa.Sasa usaliti wa aina hii unaweza kuvumilika mami?
Huo mkuki mchungu Heaven...Mmmh hauvumiliki honestly, tunajitoaga tu ufahamu basi . Ukimkuta partner wako anaflirt ndo utaelewa vizuri how it feels (mkuki kwa nguruwe).
Hahaha nakuelewa vizuri mnooo. Kiroho kinaumaaaaa tehHuo mkuki mchungu Heaven...
Nilikua naona sawa tu ku flirt ila jamaa aki flirt naona nongwa.
Karoho kanadunda wacha kabisaHahaha nakuelewa vizuri mnooo. Kiroho kinaumaaaaa teh
Vigodoro na ngoma za usiku, bao, na vioinge vya kahawaJe kipindi kile ambacho kulikuwa hakuna mitandao,hao wanandoa walikuwa wana punguza misongo ya mawazo wapi?
Hahaha umenyoooooshwaKaroho kanadunda wacha kabisa
Sikuhizi angalau nakua mtoto mzuri, kanifanya kujua mipaka ya utani humu lols
Nitaacha kunyooka mwenzangu... Wahenga hawakukosea kusema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu HeavenHahaha umenyoooooshwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sure Douta..Hizi mambo ukimkuta mwezako anafanya ni ngumu kumuelewa aisee hata kama na we huko hivyo..Kiukweli kama mtu upo kwenye serious relationship hizi mambo za flirting sio nzuri.Hahaha daddy unajua binadamu tuna asili ya kitu kimoja "nikifanya mimi ni sawa ila ukifanya wewe ni kosa kubwa". Me naweza nikawa naona sawa coz maybe nachat tu na mtu online, sijaonana naye wala kufanya naye chochote na ni kweli sina mpango naye wowote. Lakini akifanya partner wangu sitoamini kama kila kitu kinaishia online as I do. So hata kama hakuna kitu kitakachotokea physically still hapa kuna "emotional cheating/betrayal". (Mfano hapa jf tuchukulie mawasiliano ya pm, Tuache utani unaoishia jukwaani)
The fact kwamba partner wangu anawasiliana na mtu mwingine regularly (anapata muda wa kumuwaza girl mwingine apart from me) inaweza kuharibu mahusiano kabisa , na kadri wanavyocontact wanaform a certain bond na ndo wanazidi kufahamiana kila siku. Imagine unaamka asubuhi afu cha kwanza Unawaza kum-pm rubii, huku atoto hata hujamtafuta teh. It kills trust pale partner wako atakapofuma conversation zenu, coz hata kama Ukimwambia kuwa huna mpango na huyo mtu na hamjawahi kuonana maybe, obviously mwenzako hatokuamini. Pata picha tunavyokuwaga na confidence za kujiachia nyuma ya keyboard, unafunguka+ maneno matamu tamu mwee as unajua baby hajui wala hanioni. Ile feeling tu ya kujua baby angu ana mtu mwingine anamuwaza na wanaongea hivi na vile inaumiza eti (kizuri nakula peke angu"). Afu lazima ujue unamuibia mpenzi wako muda wake coz itabidi muda mwingine usimtafute uchat na bae wako wa online Teh, so attention ina-divert kidogo
What matters ni nyie partners kuwekeana limit ya matumizi yenu ya Internet. Kama hamuumizwi na hizo flirtings ni sawa, but kama zinawaumiza then you both know what to do
Hili nalo ni jipu linahitaji kutumbuliwa.Hey hey good people,
Leo ningependa tujadiliane kuhusu usaliti kwa njia ya mtandao na kanuni zipi ambazo zinaweza kutumika kuashiria usaliti kwa njia hio.
Kama tunavyotambua usaliti upo katika mafungu tofauti na uzito tofauti.Je huu usaliti kwa njia ya mitandao ya aina mbalimbali kama Facebook,Viber,Whatsapp,Twiter,Instagram au hata hapa Jamiiforums tunaupa uzito gani?
Nikiongelea usaliti wa aina hii namaanisha ile kuongea na mtu ambae huna mahusiano nae yoyote kuhusu masuala ambayo yanaweza kuleta hamasa tofauti,kumpa mtu huyo uhuru wa kuwasiliana na wewe,kuongea nae maongezi ya kimahaba,kuitana majina ya kimapenzi,kuanika hisia zako kwa mtu huyo n.k
Viashiria vipi vinaweza kutumika ili kudhihirishia kama huu usaliti umepiga hatua mbele,iwapo mwenza wako anapoteza hisia juu yako au mawasiliano yamenoga mpaka mwenza wako anakudharau na kuupa kipaumbele usaliti huu?Au kama wasaliti hawa wana miadi ya kuonana?
Kwa nadharia tu,watu wanaotenda usaliti wa aina hii wana madhumuni ya kupata manufaa gani?Je kuna sababu zinazoweza kupelekea wahusika hawa kutenda usaliti kwa njia hii?Mfano kutafuta vile vitu ambavyo anavikosa kwenye mahusiano yao,kwahio wanatafuta kipoozeo? Au ni tabia na hulka tu?
Tujadiliane.
Wasalaam G