Usaliti ndani ya UKAWA: Lowassa abaki mpweke baada ya wenzake kukubali ushindi wa Dr. Magufuli

katiba ndo mbov aliye tangazwa na tume ndiye rais wala huna pakulalamikia
kwamfano lubuva kwa isivyo bahat angemtangaza mbari wake kuwa ndio mshind wala hapo tusingekuwa na pa kulalamikia
 
Naona ukuu wa wilaya haukutoshi sasa unataka ukuu wa mkoa, sasa sijui utampiga nani tena mwaka huu kwasababu Mzee Warioba yupo upande wenu sasa.
 
ACHA KUTUNGA UONGO MTOTO WA KIUME.......! Eti habari zikizoifikia JF teh..teh...teh ..
 
Ila Lowassa kama anawashauri wanaomtakia uzee mwema usio na upweke na kuja kuonekana mtu asiye na shukrani kwa taifa hili,wamuambie akaombe radhi,maana upweke kwake utakuwa mkubwa,mosi waliompiga salio wamgeuke,serikali pia iendelee kumuona kituko atakosa raha,sana mzee akaombe radhi na kukiri kuwa alikurupuka.
kisaikolojia lowassa yupo huru kuliko angebaki ccm.hakutaka kudhalilishwa akautumikia ubinaadamu wake.mimi naamini lowassa angekuwa laini saa hizi ashakufa kwa kihoro.ninachoamini ni miongoni mwa bunaadamu imara na wabishi niliopata kuwaona ulimwenguni.
 
Kitendo cha kuwa kimya ni kukubali. Ndio maana alisema mwaka 2020 atagombea tena. Au huwezi kujiongeza mpaka utafuniwe
kwa jibu lako hili umethibitisha kwamba aliyetoa hii mada aidha hana akili,mbea,mchawi,au anataka kumpora nafasi mama regina lowassa.Nashukuru kwa hekima yako,hii inatosha kuonesha kwamba mtoa mada ana ishu binafsi na laigwanan
 
Lowassa alikua rais wa mioyoni mwa wanamabadiliko wengi lakini Magufuli alikua Rais wa mioyoni mwa viongoz wa UKAWA mana walijua wazi kua Magufuli ndio mleta mabadiliko ya kweli...
 
:Lizaboni unatumika vibaya sana, nakushauri uwe na kazi ya kipato kwa ajili ya wewe na watoto wako. Achana na UKUWADI kamwe hautakufikisha mahali kabisa na umri ndio huo unasogea. Usikubali kuwa dodoki hadi uzeeni!
 
Nitaendelea kumuandika mpaka atakapokiri kuwa ameshindwamkihalali na Dr Magufuli. Wenzake wamefsnya hivyo. Bado yeye tu

Sasa wewe una visa vyako vingine, una uhakika gani wa wengine kumkubali zaidi ya kuona waepushe migogoro. Upige wewe, uibe wewe halafu ulazimishe mwingine kusema kaiba yeye! Ukipiga kimya je? Pressure juu ya nini?
 
magufuli ana kazi kubwa ya kuipeleka nchi yetu kwenye maendeleo ....kama watu wake ni kama lizabon sijawahi ona zimepita siku mbili hujazungumza kuhusu lowaasa aaaa unaboa bwana kazi tu haipo chi yetu wajinga tupo wengi kweli
tanzania yetu sote
Kwa nini mkiambiwa ukweli
Mnapanic
 
Back
Top Bottom