Chongeni
Member
- Jun 16, 2020
- 17
- 46
Kwa maoni yangu, usaili ulikuwa wa haki, pepa ilikuwa fair, haikuwa ngumu wala haikuwa rahisi. Halafu ndo nini sasa kutuhesabisha vidole namna ile, wanatoa calculation halafu marufuku kutumia Calculator…..!!!
Toa maoni yako, pepa ilikuwaje kwako…
Nimeiweka Screenshot ya Calculation question kwa Watu waliofanya usaili wa TMO.
Toa maoni yako, pepa ilikuwaje kwako…
Nimeiweka Screenshot ya Calculation question kwa Watu waliofanya usaili wa TMO.