Usafiri wa Songea kupitia Mtwara na Hotel ya wastani Songea mjini.

Ipo sehemu gani mkuu na bei zikoje kwenye eneo la Watoto siyo fani yangu
Ukiwa hapo stendi mwambie boda akupeleke ni jirani hata kwa kutembea dakika chahe nauli ya boda buku, sh 20,000 na 35 pazuri sana kiusalama maana ni kigoroga. Mi naogopa sana lodge zisizo na usalama was kutosha kutokana na vifaa vyangu vya kazi
 
Hizo ni bei za kawaida nitaangalia kesho nitakuwepo mpaka j5
 
Back
Top Bottom