Usafiri bora na wa kisasa kwenda Arusha

Basi zenye full ac na charging system ni TAHMEED tu, hayo mengine yote usanii mtupu tena usirogwe ukapata DAR au KLM express hayo yamebaki jina tu. Hizo tahmeed ni zile za nairobi ndio ziko poa
 
ukweli ni kwamba ccm wameibana arusha na arusha imefulia sana ukilingaosha na dodoma na hata wenye mabasi wamenyuti kupeleka mabasi makali sababu ya kukosa wateka wa nguvu angalia hata sherehe za ccm wamebadili ghafla kwenda singda kukomoa arusha
 
Acha uongo wewe Arusha bado ndo Sehemu yanaenda mabasi makari nchi hii,
 
Au panda Koninklijke Luchtvaart Maatschappij......maana ipo huku Arusha kila jioni.......
 
Back
Top Bottom