Usafi wa jiko muhimu sana.

Umenikumbusha miaka michache nyuma. Nilikuwa kila Ijumaa napenda kununua kuku wa kukaanga kwenye restaurant moja ya wachina na kuongeza vikolombwezo vingine ili kupata supper/dinner. Hiyo siku ya siku mlango wa jikoni kwa mara ya kwanza nikaukuta wazi. Lile jiko lilikuwa chafu kupita maelezo sikununua kuku siku ile na sikurudi tena pale. Hadi hii leo napata shida sana kwenda kula restaurant za hawa jamaa. Watu wengi wanawasifia kwamba ni watu wachafu sana.

Tunaweza kulaumu kuwa ni mwanamke ndio mmiliki wa hili jiko,huwezi jua hata mwanaume bachela nae anaweza fanya hichi kituko. Jaman ee usafi muhimu wakati wa kupika na baada ya kupika kwa watu wote
View attachment 479517

Kama kawaida nimeiokota mtandaoni.
 
Hahahah hii ilishantokea,nilienda sehemu ndoo ya maji ya kupikia ndio hio hio ya kuogea.
Umenikumbusha miaka michache nyuma. Nilikuwa kila Ijumaa napenda kununua kuku wa kukaanga kwenye restaurant moja ya wachina na kuongeza vikolombwezo vingine ili kupata supper/dinner. Hiyo siku ya siku mlango wa jikoni kwa mara ya kwanza nikaukuta wazi. Lile jiko lilikuwa chafu kupita maelezo sikununua kuku siku ile na sikurudi tena pale. Hadi hii leo napata shida sana kwenda kula restaurant za hawa jamaa. Watu wengi wanawasifia kwamba ni watu wachafu sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom