USA wametuonyesha, tusicheze na Taasisi ya Urais!

Utamlinganishaje Trump na mambo ya kijinga..
wewe ndio mjinga. mbona kuna wanasiasa wa amerika mashuhuri kabisa wanasema trump ni mjinga. lakini wewe unaita urais wa nchi yako ujinga wakati nchi nyingi duniani zinamsifia jpm.
 
Waafrika tumekuwa tukidanganywa au labda niseme tumekuwa hatuilewi vizuri mifumo ya Kizungu matokeo yake tumekuwa tukiiga mambo ambayo kiuhalisia Wazungu wenyewe hawayafanyi!

Sasa hili na Uraisi kama taasisi, USA wameonyesha kwamba Rais wa USA ana madaraka makubwa sana kuliko wengi tulivyokuwa tunadhania, D.Trump ameonyesha kwamba Urais ni Taasisi na kamwe haufai kuchezewa na kudharauliwa kama vile Wapinzani fake kama chadema, Tundu Lisu, Zito Kabwe & Co. wanavyojaribu kutuaminisha kila siku!

Tumeona Trump alivyoingia baadhi ya watu tena wengine wa Chama chake walikuwa wanajaribu kutingisha kiberiti baada ya Trump kutaka kuwaonyesha kwamba yeye ndiyo Boss wa USA sasa hivi wote wamenywea na wamesema we are together with our President, hata Democrats wenyewe pmj na kuwa ni Upinzani lkn wana full respect kwa Raisi Trump kama Taasisi na wanatumia watu baki kumdhihaki lkn siyo Demecrats kama Chama!

Hivyo ujumbe wangu ni kwamba tuchezee vyoote lkn tusicheze na Uraisi, Uraisi ni Taasisi na Rais ni lazima awe na Madaraka makubwa, na hii ni Dunia nzima!
kajipange. Nani asapoti ubwege Wako
 
Back
Top Bottom