Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,752
Mkuu nataka kusema kwamba baadhi ya taarifa/madai yanapashwa kufanyiwa marekebisho kidogo:Mtu...
Mnaoshabikia Russia na hiyo s_400 mnajifariji tu
La kwanza-kuhusu Sadam Hussein, kilicho tokea ni kwamba Rais Bush Jr alimuomba Rais wa Urusi Yeltsin alipatie jeshi la anga la Merikani KEY za kuweza ku-disable Air Defense System ya Iraq na kwa kuwa Bush na Yeltsin walikuwa in goodterms alimpatia CODE hiyo bila wasiwasi hicho ndicho sababisha ndege za Merikani kuingia anga la Iraq bila wasi wasi labda kuogopa triple A na Sterla wanapokuwa kwenye low altitude.
Kuhusu Libya kama sikosei imewahi kupigwa mabom mara moja na ndege za Merikani wakati wa utawala wa Reagan,mabom yalilenga Ikulu ya Gaddafi walitaka kumuua lakini alinusurika akafa binti wake wa kufikia - hapa hatuwezi kusema kwamba Air Defense ya Libya ili shindwa kwa kuwa hatujui ndege hiyo ikuwa umbali hupi kutoka usawa wa bahari,kama ilikuwa kwenye higher altitude i.e above 45,000+ feet above sea level husitegemee kwamba Air Defense za miaka hiyo 1980's ingefanya chochote,kumbuka kwamba Urusi ilisha sitisha kuwahuzia Waarabu sophisticated SAMs baada ya waarabu kuhibiwa/nyanganywa SAM-6 na makomando wa Israel katika vita ya 1973,the system was very sophisticated iliweza kutungua karibu robo tatu ya ndege za Israel ambazo karibu zote zilihundwa Merikani - kwa hiyo sio sahii kubeza beza Military Science ya jamaa hawa kwa kuwa hawazungumzi kingereza au hawana majigambo.
Haya tuje kwenye mashambulizi ya mwaka juzi ya ndege za Uingereza na Ufaransa dhidi ya jeshi la Gaddafi, Defense System zake hazikuwa na tofauti na zile za Iraq ambazo zilikuwa compromised na Rais Yeltsin kwa Wamerikani hivyo Waingereza na Wafaransa walipewa mbinu za ku-disable Ulinzi wa anga la Libya.
Kitu kingine sikweli kudai kwamba ndege za Israel zilingia ingaia Syria
na kufanya mashambulizi kwenye nyumba ya Kiongozi wa Hezibolla - ndege hazikuhusika kabisa,kilicho tokea ni kwamba Waisrael walirusha kombola/roketi tatu kutoka karibu na Ziwa la Galilaya - narudia kusema roketi tatu zilirushwa kutoka aridhini sio angani rio vizuri kupotosha wasomaji - tukio hilo linadhilisha kwamba Waisrael kama walivyo Wamerikani na washirika wake hawana ubavu wa ku-risk ndege zao na marubani wao kwa kombola ambalo halitumii mlipuko zaidi ya kinetic Energy penetrants zenye kasi za zaidi ya 7Km Per Second ndege inakatika vipande vipande pamoja na rubani wake,ukweli huo nchi za magharibi wanaujuwa sana - kwani tatizo liko wapi kama wanajiamini kwa nini hawarushi ndege zao na drones kwenye anga la Syria bila ya kutoa taarifa kwa jeshi la anga la URUSI,wajaribu ku prove them wrong,wasihishie kwenye Air conditioned Studio za Al Jazeera wakizuga watu kwa propaganda za kitoto wakati kila mtu anajua kwamba Mfalme wa Qatar(Al Jazeera owner),Israel na Mataifa ya magharibi wanataka Asaad atoke madarakani - mtu unategemea watazungumza kitu chochote kizuri kuhusu Syria au Urusi,kila siku wanadai ndege za Urusi zina uua raia mara zimelipua Mahospitalitna mashule - ulaghai mtupu.
Nimalizie kwa kusema wakati mwingine ni vema kusikiliza mahojiano ya wanasayansi wanao hunda silaha na muhimu zaidi wasikilizeni maveteran walio wahi kushiriki kwenye vita vya Korea,Vietnam - wasikilizeni hao wanajeshi na marubani wa Merikani,Urusi,Vietnam na Korea hawa hawako biased au kuendekeza propaganda za kisiasa wanasema ukweli mtupu bila ya kujali Country of origin,mkiwasikiliza kwa umakini mtajua mengi na kupunguza kutegemea sana propaganda za wanasiasa