Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,476
- 3,635
Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida.
Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari.
Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata nitakutumia baadae, badae yenye imefika piga simu hapokei tumia namba ngeni anapokea then anakwambia nitakucheki hiyo nimaziama.
Anarudi safarini unakutana mitaani anakwambia mambao yaligoma kipindi kile ngoja nikupambanie baadae unakuta yupo bar na warembo anakula vyombo.