Urafiki kati ya ME & KE unawezekana ?

sasa hawa jamaa huwa wanakoishia haswa ni wapi ? mimi ninakoishia kwa makusudi au bahati mbaya ni bed tukitoka hapo tunamature dada na kaka

Hiyo ni janja yako ya kutaka kubanjua wanawake kiurahisi, lakini juwa kila kitu kina mwisho wake.
 
Hiyo ni janja yako ya kutaka kubanjua wanawake kiurahisi, lakini juwa kila kitu kina mwisho wake.

Ohooo avatar yako inaakis uhalisia wako wewe hapo unapiga kofi iko na mwisho pia ujue hilo bas well kuwa na marafiki wakike alaf mwambie wife Husna ni rafiki yangu tu hakuna kinachoendelea
 
Haya haya mazoea ya kisen*e yamesababisha nmetafuna binamu zng watatu na nna shemej yng mmoja pia na mwenyew nlimpitia kwa gia hyohyo
 
Habari nyie watu

Aloo niko na kaswala kananipa shida flan, sielewi ni kwangu tu au kwa wanaume wote. Huu urafiki kati ya mwanaume na mwanamke ivi unaendanga hivyo hivo bila kugusana ?

Kwakweli upande wangu nikiwa na rafiki wa kike tunaishiaga kunjanjuwana tu mwisho tunaitana dada & kaka. kuna mmoja tulifikia mahali kubariki undugu kabisa ila sijui ilikuwaje tu hata yeye nikamgeuka sasa sijui yeye ndio alinigeuka au mimi ndio nlimgeuka nlichostukia nikwamba tumenjanjuwa na kibaya zaidi ilikuwa mara tatu kwa siku kwa siku tano

WAZE HAWA WATU WAKIWASOGELEA MNAKUWA MARAFIKI TU ?
Like poles repel and unlike poles attract, over
 
Mbona kawaida tu?
Mie kuna dada amekuwa rafiki yangu, mpaka akanitambulisha kwa wazazi wake, bahati mbaya au nzuri wazazi wake hawakubahatika kupata mtoto wa kiume.
Mwezi uliopita kafunga ndoa, wakati wa mahafari (sherehe) akanitambulisha kwa wageni waalikwa kuwa mie ndo kaka yake mpendwa.
 
daaaaaa kama naona vile frictions za hapa na pale
 
Hahahaaaa! Pole Mkuu.... Na Binamu zako Na shemeji usikute walipoulizwa walisema "Huyu Kaka Ni rafiki yangu" wenyewe wanaita (Best)

Mabinam skuiz watu wanazaa na kuzaa nao kabisa sio kuwachungulia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom