Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,756
Sawa ila ndo vitu ambavyo naviona Mara nyingi vimeambatanishwavigezo hivyo atakua anatafuta zaidi ya mume
Sawa ila ndo vitu ambavyo naviona Mara nyingi vimeambatanishwavigezo hivyo atakua anatafuta zaidi ya mume
hahaha sikuiz nimeamia humu aisee natafuta mke wa pilihivi upo unatafutwa sana na Aisha kila jukwaa anasema hakuoni
Well said mkuu ndo maana mm nimeamua kutulia mpaka mungu atakaponipa furahamkuu unaweza kumpata huyo mwenye vigezo vyote ulivyotaja hapo na bado ukawa mpweke ..
Furaha huwa haitafuti huwa inakufata na hasa pale mungu anapoamuwa tu
watu wanashindwa kuelewa mungu ndio anayetoa faraja muombe akupe lakini si kwa jitihada zako eti useme ukipata wa namna hii ntakuwa nafuraha.Well said mkuu ndo maana mm nimeamua kutulia mpaka mungu atakaponipa furaha
Kweli Kabisa kikubwa kumuomba mungu akupe furaha na sio kuitegemea furaha kutoka kwa binadamu mwenziowatu wanashindwa kuelewa mungu ndio anayetoa faraja muombe akupe lakini si kwa jitihada zako eti useme ukipata wa namna hii ntakuwa nafuraha.
Hivi hujaona mtu anakwambia nikiwa na kwangu ntakuwa na furaha kweli ,kesho mungu anampa kwake cha ajabu ukiendq kumwangalia majanga tele mpaka anajuta
Unajuaje kama umemeet vigezo?!Uwe mwanaume uliyepevuka sio mvulana
Uwe na akili ya maisha sio kilaza.
Sijaviongeza mkuu kaviandika msome vizurii hahaHivi umeongeza wewe,yawezekana ni katika kujipigia debe...basi sisi wazee tukae kando...
kweli kabisaKweli Kabisa kikubwa kumuomba mungu akupe furaha na sio kuitegemea furaha kutoka kwa binadamu mwenzio
Teh teh ulikuwa hujaleewaUwe mwanaume uliyepevuka sio mvulana
Uwe na akili ya maisha sio kilaza.
Wewe mjukuu ulinitukana juzi...adhabu yako nenda zunguka tafuta sehemu uliyonitukana kisha ukanushe hayo matusi la sivyo ukija kwqngu nakuchapa na bakora.Teh teh ulikuwa hujaleewa
![]()
Acha kupunguza umri mkuu sema kwel ili mungu akupe kiukweli