- Thread starter
- #41
Na katoka nduki jumla... alikuwa hafahamu kwamba hesabu alizopiga ni sawa na kusema uwezo wa yale malori ya tani 7 maarufu kama Tipper, ni kubeba nusu gunia tu!!!!Hili sasa ni tatizo kubwa sana JF. Hata hesabu hujui lakini umekomaa kama vile usemacho una hakika nacho.
Inawezekana hata PM naye anawaza kama wewe katika hesabu.
Rudi kajifunze tena ndio uje