masamchris
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 244
- 82
TUPO KWENYE FILAMU MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU, (kuondoa team ya aliyetangulia kuweka team mpya) SIJUI NA HII ITAISHIA NJIANI
TUPO KWENYE FILAMU MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU, (kuondoa team ya aliyetangulia kuweka team mpya) SIJUI NA HII ITAISHIA NJIANI
Nawacheka malofa sana
Watu wanaendelea kukamuliwa kimyakimya
Mbona wao mwanzoni hawakufanya kimya kimya?Wewe unataka mpaka watu wapande juu ya nyumba kutangaza ndo ujue kazi inaendelea?
Kuna watu huwa hawaamini mpaka waone maandishi "THE END" kwenye tv.