pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,642
- 6,269
Kama haingii SMS alituma za nini? Ebu tuambie wewe mdogo wake na mwongo.Hapo Wizara ya NISHATI inaingiaje kwenye suala la Flow Meter !? Maana kwa mantiki yako itabidi hata Waziri wa Fedha (TRA) na Waziri wa Uchukuzi (TPA) wote waingie hatiani. Tuwe tunatumia akili zetu hata asilimia 2 tu kwenye kuchanganua mambo ya msingi.