Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,716
1,529
Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kunipata Kwa Whatsapp 0656388678
 
Watakie watu mapema wajue ujasiriamali upi maana arusha kwa sasa
1. Vijana kuolewa na vibibi vya kizungu
2. Vijana kuolewa na wazungu
3. Vijana kuuza bangi.
 
Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kunipata Kwa Whatsapp 0656388678
Kuna ule msemo unaosema ukiitiwa fursa, jua wewe mwenyewe ndiye fursa. Thread yako haijitoshelezi hivyo wengi watakumbuka huu msemo. Jaribu kuwa more speciafic na uelezee kwa ndani kabla mtu hajaamua kutumia namba yake kuwasiliana na wewe.
 
Unaweza kubaki na hayo mawazo yako potofu.
 
Back
Top Bottom