She's back!
Asante kwa pishi farkhina
Napenda broccoli, sometimes na steam na kuweka cheese kama hivi kwa mboga, au kuchanganya na pasta.
Mi napenda broccoli na viazi vilivokuwa sautéed halafu nanyunyizia na dressing...hususan balsamic vinaigrette.
Kuuliza si ujinga na hiyo miti/ vishina vyake Vinaliwa?**********Mahitaji ***********
Brokoli kiasi
Carrot 1 kubwa
Kitunguu 1 kikubwa
Kitunguu saumu chembe 5 katakata ndogo au twanga
Nyanya (tomatoes) 2 kubwa
Pilipili mboga nusu (unaweza changanya za rangi utakazo)
Uzile (cumin)nusu kijiko cha chai
Limau 1
*******Namna ya kutaarisha *******
Steam carrot na broccoli pembeni
Katika sufuria nyengine weka mafuta kijiko 1 cha supu
Weka kitunguu na pilipili mboga kaanga kidogo alafu weka kitunguu saumu
Weka nyanya koroka kidogo Dixiecrat sana
Weka brokoli na karoti ulio steam awali
Nyanganya vizuri weka chumvi na limau
Acha ichemke dakika 3 alafu epua
Broccoli tayari kwa kuliwa View attachment 335368View attachment 335369View attachment 335370
farkhina kuna zile ambazo nadhani zinakaangwa kidogo tu sijui huwa wanafanyaje, sehemu ambayo huwa ninazila kila siku nasema nitawauliza lakini huwa nasahau ni tamu sana. Halafu inadaiwa hizi zinakimbiza cancer kunyemelea binadamu.
Shikamoo kibua! I love you so much miss u, am away from home.View attachment 335400
mshana jr,@kui,Nyani Ngabu,Angel Nylon,Mrs Kharusy,@atoto,@swts,MziziMkavu na wengine wote
Kuuliza si ujinga na hiyo miti/ vishina vyake Vinaliwa?
Asante,naona kwambali olive oil waweza nijuza faida zake ukiyatumia?Havina neno yes zinaliwa ila ukiwa unaandaje unakata kidogo
Heri ya mwaka mpya!
Huwa na steam tu na kuweka soy sauce basi.
Napenda sana broccoli kuliko cauliflower.
Asante kwa recipe.
Ahsante sana nawe pia#Hillary2016 Babu ananiudhi sana lol!