Upi Ukweli kuhusu Uwekezaji wa FIC?

mwl. mziray

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
598
400
Ndugu zangu, kwa siku za karibuni kumekua na watu mbalimbali katika taasisi za Umma na binafsi wakijihusisha na Uwekezaji katika kampuni ijulikanayo kama FIC ambapo wanaweka mitaji na mitaji hiyo inakua kila siku.

Je Uwekezaji huu ni halali?
Usalama wa fedha za Wananchi upo?
Hii ni sehemu ya tangazo lao:

"Habari
Napenda kukukaribisha katika fursa hii ya uwekezaji katika jukwaa la FIC ambalo linajihusisha na kushinda kinyume na matokeo yaliyobuniwa yaani mfano magoli ni 3-1 , timu zikicheza zikapata matokeo yoyote tofauti na yaliyowekwa manake umekula ila zikifananisha na hayo hautapata faida ila mtaji wako ulioweka utabaki.
Kwahiyo hii siyo kama betting zingne ambazo unaweka au unabuni magoli sawa na matokeo.
Karibu sana. Kiwango cha kuwekeza ni kuanzia 10,000 na kuendelea ."
 
Back
Top Bottom