kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
Hivi nani analipia gharama za hayo Mapambo na nguo?
Mkuu,hizo zote ni kodi za wananchi! Kinachouma sana ni hizo gharama kuongezwa mara mbili na wahusika. Si unajua tena mambo ya MGENI NJOO,MWENYEJI APONE! Cha juu na 10% kama kawaida!