Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 63
- 49
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA
Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye Cha na kushika Nyadhifa.
Nikaanza. Hatuwezi kuiongoza nchi pasipo kumtanguliza Mungu ili atubariki kutupatia Elimu ya kututosha kutenda Haki miongoni mwetu huku tukitanguliza hofu ya kumhofu Mwenyezi Mungu ndipo tutaweza kujuwa Chama chetu kinatutaka tufanye Nini ili kutenda Haki kwa waliotuamini na kutupatia ridhaa.
Huku sisi pia Wanaccm tukitendeana Haki kupunguza Makali na ugumu wa maisha unaopelekea kutufanya tuonekane Ombaomba mbele ya Jamii iliyotuamini. Shekhe Mussa kundecha alitoa mawaidha tarehe nakumbuka Tarehe 24/01/2023 alisema elimu lazima iwe Elimu sahihi inayokuongoza kumtambuwa Mwenyezi Mungu Subhahanahu Wataalla.
Kutambuwa miiko ya Mwenyezi Mungu Subhahanahu Wataalla kutambuwa ni nini kinakubalika na ni kipi hakikubaliki. Mwisho wa kunukuu.
Apostle Deonis Mutalemwa Bushir wa ECG Church huko Makongo. Nakumbuka Tarehe 01/08/2023
alisema mimi nasema ili huku (ndani kabisa ya moyo Wangu) nisibaki na kitu. (Wewe unayenisikiliza) umekipokea, hujakipokea, kimetokea, me I don't care. Mwisho wa kunukuu.
Tuache kuishi maisha feki ya kusimama Majukwaani na kutamka Mambo yaliyo feki Kinyume na matakwa ya katiba Kanuni Miongozo na taratibu zetu. Tutoke kwenye ufeki, turudi kwenye Uhalisia
Katika simulizi za Denis Mpagaze zilizo somwa na Msomi maarufu Ananias Edger Tarehe 21/08/2022
Alisema, unaishi maisha feki, kuanzia kuwaza feki, kuvaa feki, kula feki, yaani sio wewe kabisa kwa sababu uko na ufeki feki mwingi. Mwisho wa kunukuu.
Mheshimiwa saaana Dkt Sophia Edward Mjema akiwa Katibu NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa
aliwahi kusema lazima Wanachama wetu tuwafundishe wajuwe chama kinataka nini. Mwisho wa kunukuu Chama Cha Mapinduzi kinataka Kila mtu na Binadamu anayetumua aliyejipima, akajiona, anafaa kujiunga na CCM ni lazima, sio ombi afuate Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo la 2005 ibara 26(1)(2) na ibara 9(a)(b)(f)(h).
Afuate Sheria The Political Parties act chapter 258 inayotuelekeza kuheshimu kwa utii Mkubwa maandiko ya Chama kimaneno na kivitendo aheshimu ilani ya CCM 2020 uk 01 ibara 04
Uk 161-168 kwa maneno na Vitendo visivyo na bla bla akimalizia ibara 10 na 11. Aheshimu kitabu Cha Awamu ya tatu ya Mradi kukiimarisha Chama uk 07 usia aliotupatia Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.
Aheshimu na kutoa Maamuzi magumu baada ya kusoma katiba Kanuni Miongozo na taratibu za Chama huku kipekee akizingatia Kanuni ya Fedha na Mali za Chama na Jumuiya zake uk 164-165 kwa Msisitizo wa kuyaishi maneno hayo huku akijikumbusha katiba ya CCM 1977 toleo 2022 uk 08 ibara 13(1)(c)(d)(e) bila kuiacha ibara 19(1)(c)(d) huku akisoma na kutoa machozi.
Huyo Ndiyo kada anayeweza kuisaidia Tanzania pasipo na Bla bla. Nakumbuka Tarehe 10/11/2023
Mheshimiwa Paul Christian Makonda atibu NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa akiwa Chato alisema
Mimi nataka kufuata Sheria. Chama hiki (CCM) kinasema tufuate nini? (Sheriaaaa). Mwisho wa kunukuu
Nakumbuka February 2019 Hayati Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Katika wiki ya Sheria Alisema Ingawa Mimi sio Mwanasheria Lakini napenda Sana Sheria. Sheria ni muhimu katika kujenga Umoja kwenye Jamii Kuimarisha uhusiano katika ya serikali na Wananchi kulinda Uhuru Haki za Wananchi, Kudumisha amani Na kuzuia ama kuondoa migogoro katika Jamii na Taifa kwa ujumla.
Mwisho wa kunukuu Naye Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania Katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT Arusha Alisema Serikali ya Awamu ya Sita imejidhatiti kuimarisha Misingi ya Utawala Bora unaozingatia sheria Demokrasia na Maadili yetu Kama Watanzania. Mimi Binafsi nimedhamiria hivyo. Na ndivyo ninavyo waelezaWasaidizi Wangu. Mwisho wa kunukuu.
Ili Chama kiwe na watu Waadilifu na Waaminifu hakuna namna tunavyoweza kukwepa kuwaondoa Viongozi wote Waliopenya kwa Rushwa Kinyume na utaratibu ambao hawakubaliki kwa Wanaccm walio wengi kisa tu ni Mpango kazi wa wakubwa Fulani kwa ajili ya uchaguzi 2025. Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika hafla ya kuapisha Waziri Mkuu Tarehe 16/11/2020 alisema
Ndiyo Ukweli.
Maneno mengi yanaumiza lakini nataka niwaeleze muwe munajitayarisha kisaikolojia. Mwisho wa kunukuu Naye Mheshimiwa Paul Christian Makonda, Katibu NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nakumbuka Tarehe 10/11/2023 Akiwa Chato Alisema Nimuombe Mwenyekiti Wangu wa Chama (Cha Mapinduzi) Mkoa Na Wilaya.
Tunaelekea kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa mwakani (2024) Hakikisheni mnapitisha majina ya Wagombea Waadilifu (Waaminifu) Kama ambavyo viapo (vyenu ) na Kanuni za Chama zinataka.
Ili (wapatikane Viongozi) wafanye kazi kwa Maslahi ya Wananchi. Mwisho wa kunukuu.
Maneno haya ni mazuri ila bila ya kuwaondoa kwenye Nyadhifa Viongozi wasio takiwa na Wanaccm walio wengi itakuwa ni kama kukisaka kibinti kigoli ndani ya Wodi ya kujifungulia akina Mama.
Mwarobaini wa haya ni kusimama kwenye Haki. Anayestahili abakie kwenye nafasi yake. Asiyetakiwa atoke.
Huku ndiko kuyatendea Haki Maandiko ya mifumo ya nchi na kuvitendea Haki viapo Na kuwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Utumishi wa umma sio kuonyesha kiburi Cha Madaraka Bali kujishusha na kuwaonea huruma Mafukara wanaokutegemea utende Haki kwa kuwapatia Viongozi watakao weza kuwasaidia wasiotokana na Rushwa hapo ndipo Tutasema tuna hofu ya Mwenyezi Mungu.
Hatutakuwa na hofu ya kumhofu Mwenyezi Mungu kwa kuwabeba Viongozi waliotapikwa na Jamii halafu sisi tukatumia Madaraka yetu kuyalinda Majambazi ya Kisiasa kwa Maslahi ya wachache watoa Rushwa kununua Vyeo kwa Maslahi Binafsi. Kuutambuwa utu wa mtu ni pamoja na kuwatendea Haki Mafukara kuwapatia Viongozi safi watokanao na ridhaa yao.
Nakumbuka Tarehe Mwaka 2019 Hayati Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akiwa Mpanda Katavi. Alisema Inasikitisha saana. Tulikuwa tumefika katika level ya kuto kutambuwa utu wa Watanzania.
Nikasema hapana. Katika Utawala Wangu. Lazima hawa watu masikini walionipigia kura juwa linawachoma Mnvua inawanyeshea Wakanipa kura Mimi Magufuli. Ni lazima Magufuli haya yakatumike kufungua maisha yao kwa ajili ya Maendeleo Yao.
Kwa hiyo napenda kuwahakikishia ndugu zangu , Mimi nitaendelea kuwa Mtumishi wenu Mmenipa hii kazi Kazi hii ni sadaka kwenu, Ni sadaka kwa Watanzania kwa ajili ya kuwatoa machozi (yawatoke yasiwepo) na kuwatumikia Hilo ndilo lengo langu. Na ndiyo maana huwa namuomba saana Mwenyezi Mungu na Ninyi muendelee kuniombea na Viongozi wa Dini muendelee kuniombea. Kamwe Nisijekuwa Na kiburi. Nikaendelee kuwatumikia Watanzania bila kuwabagua. Nisiwabaguwe Kwa Dini zao
Makabila Yao. Nikawe Mtumishi wenu.
Na Utumishi Wangu ukawaguse ninyi katika kuwaondolea kero na kuwatajirisha katika maisha yenu
Hicho ndicho ninaomba.. Mwisho wa kunukuu. Mheshimiwa Paul Christian Makonda Umeanza vyema
Nikiombe saana Ebu fumba macho Safisha Chama. Watoe wote waliowekwa kimpango kazi. Weka watu wanaokubalika na Wanaccm Mafukara Kwa Taarifa yako. Makada wafia Chama wote wako nje
Hawana Vyeo.
Waliopo wanaonekana kama ni CCM lakini wapo kwenye vyeo hivyo wakiwa hawajuwi kabisaa lolote lile kuhusu Katiba Kanuni Miongozo na Taratibu. Ndiyo maana migogoro ndani ya CCM imeshamiri.
Nakuomba ufuate Mienendo Hiyo ya Dkt Samia Suluhu Hassan bila kuacha kuuishi Ujasiri wa Hayati Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli ili uisaidie nchi kuirudisha pale inapostahili kuwa .
Nakumbuka Tarehe 10/11/2023. Mheshimiwa Paul Christian Makonda. Katibu NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Akiwa Chato Alisema Nimekuja kuona Mzee Wangu (Dkt John Pombe Joseph Magufuli) alipolala
Nimekuja kuona kaburi la Mpendwa wetu.
Mwalimu Wangu, Rafiki, Mshauri Ninayempenda saana ambaye siwezi kumkana hata ukiniwekea bastola (Watu ) wanasema Sema Hukooo Wanatukana Watasemaje Lakini Mimi Paul Christian Makonda Sitamkana Dkt John Joseph Pombe Magufuli Ni Roll modle Wangu. Na Hilo Wala Sina wasiwasi nalo.
Yaani Mimi si yule mtu wa kumung'unya mung'unya maneno. Wako watu Wanajichanganya
Changanya Akifika mahali anatoka (ili) aonekane mzuri kidogo. Mara (mtu Huyo) anasema sema maneno ya hovyo. Uongo Uzushi. Kwa sababu (Dkt Magufuli) ameisha kufa. Hawezi (Tena) kuongea.
Basi kila kitu kibaya Wanamsingizia Yeye. Mimi nasema Paul Christian Makonda. Sitamkana(Dkt) Magufuli. Najuwa Mchango wake katika Taifa hili. Najuwa Uaminifu wake katika Taifa hili
Najuwa Mapenzi alipokuwa nayo na alama alizoziacha.
Mwisho wa kunukuu, Mheshimiwa Paul Makonda Mzee wetu Magufuli alitaka Sisi Tutajirike Tukiinue Chama kimapato Maskini wasionewe Viongozi wabovu , wezi na Wala Rushwa watolewe
Nimebuni miradi ya kuongeza Pato la CCM sikupata msaada kwa miaka mingi Nimeandika mabarua kwa wizara zote Mikoa yote Wakurugenzi wote, Idara zote Kimyaaa. Isipokuwa TU Mkubwa wa Majeshi aliyenipatia msaidizi wake kunisikiliza. Safu zisiwepo. Haki zitendeke. Mheshimiwa Paul Makonda hukoo Nkiwanzeeezaa. Kuna Viongozi Miungu watu Ebu wasaidie Mafukara kuwatolea wasio Wahitaji.
Ukiyafanya hayo Mheshimiwa. Kwa Umoja wetu tutakuwa tunamuenzi Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwa vitendo na sio maneno matupu. Nikashtuka kutoka Ndotoni nikiwa naona kushoto ndiyo kulia Na kulia ndiyo kushoto Ebu nilale Tena nikiamka pengine nitakuwa sawa. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mathias Mugerwa Kahinga
ππΏππΏππΏπ¨π¨π¨πͺπΏπͺπΏπͺπΏ