Upanuzi wa barabara ya Kimara - Kibaha: Tenda yatangazwa

Naam hizo ni barabara mbili tofauti. Dar - Chalinze Express way (Highway) ni barabara ambayo itakuwa ni mpya kabisaaa na nasikia itaanzia Kigamboni kupita vikindu na kuelekea chalinze. Kimara - Kibaha ni hii ambayo ni existing.
inawezekana kabisa
 
Hizo km ngapi Hui serikali ya faru john haitajenga hata nusu ya barabara za mkwere
 
Mkuu tupatie hiyo Website tupate kuona hilo tangazo. Kuna sehemu mkuu alisema kutakuwa na flyovers kwenye hiyo barabara kweli? Mimi kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba barabara ya Dar - Chalinze express way ndio itakuwa na flyovers.


Labda walioandika hilo tangazo la tenda hawakumwelewa aliyetaka hizo flyovers

Ajiandae kufanyiwa upasuaji wa bila ganzi
 
Hivi kuna maana ya kuwa na bajeti? Naona kama kampuni ya muhindi tu.......leo akimkia shoto anafanya hili kesho anarukia lile! Bunge limekuwa kama kikao wanywa kahawa tuu
 
Back
Top Bottom