Uongozi wa Simba SC tafadhali waambieni Wachezaji wazawa (Waswahili) waache kuwapiga Miba (Kuwaroga) Wenzao wa Kigeni

Una maana Duguji Diarra? Maana huyu hajawahi kuumia wala kupata malaria. Na kila mara namuona kwa fundi kule kolelo, Morogoro
Majitu ya magharibi uchawi wao ni mkubwa kuliko mashariki.
Wewe si uliona feitoto alitaka kuleta zake kwa key..jamaa aliposafiri kwao aliporudi dogo kakimbia timu mwenyewe.
 
Mganga wa Moro miliman ujakosea mkuu n nomaa na nusu alishasaidia kesi Moja ya bro wangu ambayo alikuwa afungwe maishà lkn Mzee aliizimaaa.

Cku yulé Mzee akidondoka Kuna watu watazimia Kwa preshaa...
Huyo pia ndiye alimsaidia Mkude kuwapiga Fraga na Thadeo Lwanga miba,mzee yuko vizuri sana
 
Back
Top Bottom