GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
GENTAMYCINE nimetaarifiwa na Mdau Mwenzao ( Mshirikina ) Mwenzao bila Yeye kujua aliyekuwa nae ni Mtu HATARI kwa kutafuta Taarifa Ngumu na Zilizojificha na mpaka aliko huyo Mganga Wao na Wachezaji Wenzake wote wa Simba SC, Yanga SC na hata wa Azam FC anaokwenda nao.
Na huyo Mganga Wao wa Kienyeji yuko Milimani Mkoani Morogoro ambaye ndiyo humtumia Kuwaumiza Wachezaji Wageni wenye Vipaji wanaokuja Tanzania wakihofia kupoteza Namba ( Nafasi ) zao.
Haiwezekani Mchezaji mwenye Kipaji kikubwa kama Aubin Kramo Mazoezini anakiwasha kweli kweli ila Siku Kocha akilitaja tu Jina lake katika Kikosi cha Mchezo ujao anajikuta Kende ( Pumbu ) zake zimevimba ghafla na Tumbo la Kuendesha ( Kuharisha ) linampata na Kocha akiliondoa tu Jina lake na Kumpanga huyo mbaya wake Kende na Tumbo hurejea katika Hali yake ya Kawaida.
GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi Kushauri kwa Viongozi wa Simba SC kuwa kutokana na Kusajili Wachezaji wazuri na wenye Vipaji basi Waitishe Kikao cha Wachezaji na wawaambie Ukweli kuwa Waache Kurogana ( Kupigana Miba ) kwani hawaumizani Wao bali wanaiumiza Klabu na haitofikia Malengo yake ya Kuuchukua Ubingwa wa Vikombe mbalimbali.
Mwisho niwaombe Viongozi wa Simba SC kuanzia sasa mkiwa Mnawasajili Wachezaji wa Kimataifa ( Kigeni ) mkimaliza muwe mnawaambia warejee Kwanza Makwao ili Wakajipike vizuri kabla ya kuja rasmi nchini Tanzania kuendelea na Majukumu yao ya Kiuchezaji.
Nawaonea mno Huruma wale Wanaodhani kuwa Injuries za akina Skudu wa Yanga SC, Kipa Wao Msheli na ya juzi ya Henock Inonga bila kusahau na hii inayosikitisha ya Aubin Kramo zinazotakana na sababu za Kimpira ila akina GENTAMYCINE tunaokaa na hawa Wachezaji tunajua kuwa zote hizo ni Sindano za Asili kutoka Milimani Morogoro.
Na baada ya kupewa Sifa za huyo Mganga HATARI wa hawa Wachezaji Wazawa kuwa huwa hashindwi Kitu hivi sasa natafuta Nauli ili niende nikampe Majina yangu Saba ( 7 ) tu ya Watanzania wanaotaka Kuiuza nchi na Rasilimali zake kwa Kampuni ya DP World ili wawe Wendawazimu.