Noted.Uteuzi unatafutwa!
Wanasahau kina Mramba na Yona waliokuwa mawaziri waliwahi shitakiwa na kuhukumiwa hata kama walishaondoka ofisini?
Kumshitaki Waziri hata kama ni wa zamani ni sawa na kumshitaki RC au DC iliyopo ofisini?
Na huyo Sabaya kashitakiwa akiwa ofisini au baada ya kuondolewa?
Kama angekuwa ofisini, angeshitakiwa kama Sabaya au DC?
Zitto aache vihoja.
Ni kosa la bahati mbaya!
Wewe ndio Muongo tena Mzushi, kwa sababu kesi ya Ditopile ilikua tofauti kabisa na mazingira ya kesi zinazomkabili huyu PIMBI wa KIMASAI, mkuu umeshindwa kuzingatia yafuatayoFack check
Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa akiwa ofisini katika historia ya Tanzania.
Zitto hua sio mwanasiasa wa kumuamini, wanasiasa wote ni waongo ila Zitto yeye ni muongo zaidi.
Sasa wanasiasa waongo aina ya Zitto wakienda unchecked wataendelea kuwaaminisha wafuasi wao uongo na kupelekea kua na jamii iliyojazwa Uongo.
Zitto anasema Sabaya ndie mkuu wa wilaya wa kwanza kushtakiwa akiwa madarakani kwa makosa ya jinai.
Naomba kumbukusha Zitto kua November 6, 2006 aliewahi ama aliekua mkuu wa mkoa wa Tabora Bw. Zitopile Mzuzuri alifikishwa mahakamani kwa kosa la jinai la mauaji na jambo hilo lilijadiliwa humu.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala
Dereva aliyeuawa azikwa Dar Na Muhibu Said MAZISHI ya dereva wa daladala, Hassan Mbonde (33), anayedaiwa kuuawa kwa risasi na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ukiwano Ditopile Mzuzuri, jana yalitawaliwa na simanzi na vurugu zilizosababisha askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kujeruhiwa usoni...www.jamiiforums.com
Zitto acha uongo.
Umethibitishwa wapi ,au na wew unafuata mkumbo tu ,leo ukipewa Jina na mbakaji na ushahidi kemkem wa uongo ,ndo tukiute na we ni mbakaji ?Lakini mkosa ya Sabaya ni unique yaani Ujambazi wa kutumia silaha, tuhuma Ambazo hazijawa rasmi kama Kubaka..Hii kweli sijawahi kutokea Tanzania..
Kwa Ditopili hakuwa Mkuu wa Wilaya alikuwa Mkuu wa Mkoa pili aliimaanisha kuwa Serikali ilio madarakani kumsimamisha na kumshtaki kiongozi mwenye wadhifa wa Ukuu wa Wilaya haijawai kutokea hapa TanzaniaFack check