Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 42,888
- 75,303
Ulitaka mpewe stori za kuvunja moyo?Stories za wazee ni kwa ajili ya kukupa moyo ili upambane zaidi na zaidi.Waongo sana hawa wazee ukibisha unaambiwa kijana nitakupa laana wanasahau laana na uongo mbali mbali