Uongo wa mwanaume faraja kwa mtoto wa kike

ni hatari sana hawa viumbe kwa kweli. kama kwangu leo and anaondoka na mpaka mda huu hajasema ila kama nilivyotanguliza kua ataondoka! nikua nilmuona anakusanya nguo kutoka kwa droo na kupaki kwenye mabegi.


NAOMBA NIWEKE KISA CHA HIVI KARIBUNI
juzi jumanne nilipigiwa cm na boss wangu nakuniambia yupo jirani na hom kwangu, kama nipo free nijongee alipo tuongee mawli-3, nikaaga na kutoka ni sehemu yakutembea kd 5 tu., nilifika but hatukuongea sababu ilitokea fujo kidogo, nikarudi home na kulala kesho yake asubuhi mke wangu aliamka mida ya saa5 na kuniuliza kama nimemsaidia kufanya usafi! nilinyamaza maana hakua amenisalimu, baada ya mda kidogo alinitaka nimpe garama zakulima shamba la hekar 2 , la maharage maana mjomba wake alitaka kujua garama. hilo ndio tatizo la yeye kuamua kuondoka!!! baada yakumpa garama nilimwambia jioni nataka nikutane na baba mmoja ni ndugu yangu, alitaka tupange jinsi yakutumia shamba langu maana ninalo kubwa ila yeye hana. mke wangu kusikia hivyo akaanza kusema naona sashivi upo karibu na ndugu kiasi naona kama unatumika zaidi kwao!! kila mda cm inalia mara rafiki shangazi wakwe wa dada yangu, nikwamwambia kama nipo bize kwa manufaa hakuna shida au kama natumika kwa kuangalia mali yangu hakuna shida!!! gafla akaanja kusema naona ckuhiz hunisikilizi hivyo endelea kuwasikiliza hao unaona na wamaana kuliko mimi! akachukua vitu nakutupa nje. mi nikaoga nakuondoka nimerudi haongei na mimi mpaka sasa hanipiki hafanyi usafi kila kitu kaacha!! kwa upande wangu mi nimjeshi haswa hua sisumbuliwi na ujinga kama huo,nafanya kazi zangu zote bila shida maana nipo likizo miezi 3 mpka juni. sasa jana asubuhi kaamka na kuniambia anaondoka! nikamuuliza unakwenda wapi? akasema anajua mwenyewe! nikamwambia we ni mtu mzima kama unaondoka naheshimu maamuzi yako. baada ya mda kidogo akaondoka!!!!! imefika jioni ya saa 11 karudi ila hakunisemesha kabisa!! mi nikajiandalia chakula nikala wakati naanda yeye alikua ameshalala bila kula ila ilipo fika saa 6 ucku aliamka nakwenda kula!! asubuhi ya leo ndio anapaki vitu vyake ili aondoke. in short huyu mtu anaitesa sana tokea 2014 mpaka sasa hua ananifanyia visa sana ndugu zangu hata nikiandika hapa kwa siku tatu sitamaliza. kikubwa akiondoka kama anavyotaka ndio kajifuta kabisa kwangu bila ya nguvu wala fujo yoyote.
Pole
 
Wanaume wamelazimika kuwa waongo kwasababu ni hitajio la wanawake wengi ,(uwongo)

Ukitaka ujuwe wanawake wengi hawapendi ukweli ,

Ukiwa mkweli ni ngumu kumpata mtoto wa kike, maana wengi wanachotaka kusikia ni ulaghai tu na si ukweli.na ukiwa mkweli basi jua watakwambia huna mvuto huna ushawishi

Imana ushawishi na mvuto ni kuwa na maneno ya uwongo?

Vijana wengi wastarabu wakweli wanakosa wanawake kwa kuwa wakweli ,au mahusiano yao kuvunjiaka kwa kuacha.

Na Vijana wengi maplayer kila siku wanabadilisha vimwana,

Na ndomana kuna siku moja dada mmoja aliniuliza swali;

Hivi kwanini wanaume waongo?

Nikamjibu; Sababu wanawake Mnapenda kuongopewa,

Wengi ambao wanakataa uwongo ni wale ambao washachoka ,inamana washakuwa na mahusiano na watu kibao mpaka imefika mahali kachoka sasa anatafuta mahali atulie ,

Ukimkuta mtu kama huyu ,ukimwambia nimeowa ,Atakujibu sawa,

Ukimwambia mnawatoto sita
Atakujibu haina shida,

Mke wangu wa kwanza alikufa gafla.

Atakujibu mipango ya mungu

Kwanini wanawake mnakuja kuutaka ukweli baada ya kuhangaika sana kwanini msipendelee ukweli toka mwanzo ?
You've nailed it!
 
Back
Top Bottom