Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

Nadhani hiyo cream hutumiwa na wasio nyonyesha.
Labda wataalam watuelezee vizuri.
Pia kuna kitu kinaitwa nipple shield... aina ya kidude kinakaa kwenye chuchu mtoto ndo anakinyonya maziwa yanatoka bila yeye kung'ata chuchu ikiwa utaogopa dawa... cheki hizo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nadhani hiyo cream hutumiwa na wasio nyonyesha.
Labda wataalam watuelezee vizuri.
Kabla ya kunyonyesha anaosha titi, au anatibu titi moja kwa masaa kadhaa then anabadili titi la pili.
Zamani nilikuwa naona mama yangu anakanda na maji ya moto yenye chumbi, alikuwa anatia kwenye container then anafanya kuingiza titi humo kwa muda mara kadhaa kwa siku
 
Kuto bleed kwa mama anaye nyonyoshe ni kitu cha kawaida hususani kama ana fanya exclusive breast feeding apa kwa mtoto chini ya miezi sita. kwa case kama yako ni baada ya miezi sita ina maanaisha mtoto au mnyonyeshi mfurulizo na anatumia vyakula mbadala.

Hivyo bas kwa shule ya uuguzi niliyo nayo kama umeingia kwenye siku zako baada ya miez sita ya kunyonyoshe kunauwezekano mkubwa wa kua umeshika mimba na upande mwingine unaweza ukawa aujasika mika hiii inayokeaga kwa sababu ya hormonal imbalance ila ina bid ukacheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani nina swali niliona sikuzangu miezi nane baada ya kujifungua na mzunguko wangu huwa ni wa siku 28 nanilianza kubleed tarehe 6 mwez wa 12 na nilikutana na baba watoto tarehe 25 na lkn mpaka leo sijableed inakuwaje hapo wandugu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda pima ujauzito, tumia hata UPT, kwa jinsi ulivyoeleza siku umekutana na mwenzako it might be safe or not maana ni zile siku zipo kwenye extremities...

Next time ukitoka kujifungua, usijiachie tu kufanya unprotected sex maana mwanamke hupitia hormonal changes kwa kiwango kikubwa wakati wa ujauzito na hata baada ya kujifungua...
 
Jamani nina swali niliona sikuzangu miezi nane baada ya kujifungua na mzunguko wangu huwa ni wa siku 28 nanilianza kubleed tarehe 6 mwez wa 12 na nilikutana na baba watoto tarehe 25 na lkn mpaka leo sijableed inakuwaje hapo wandugu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli hesabu zako zipo sawa, huna mimba ni mabadiliko tu ya hormones na utapata siku zako za hedhi kama kawaida..!! Kwa hesabu ulizoweka hapo,siku za hatari zilikuwa zimeshapita siyo rahisi kwako kupata mimba kwa tarehe 25.

Lkn kuliko uendelee kujipa stress,kanunue kipimo ujipime upate uhakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani nina swali. Niliona sikuzangu miezi nane baada ya kujifungua na mzunguko wangu huwa ni wa siku 28 nanilianza kubleed tarehe 6 mwez wa 12 na nilikutana na baba watoto tarehe 25 na lakini mpaka leo sijableed.

Inakuwaje hapo wandugu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Husikii dalili zozote za mimba, hiyo siku ilikuwa ya 18 kwenye mzunguko possibly unaweza kuwa ulipata au ulikosa, na ujue wakati mwingine bleed inaweza kuvuka siku 28 hiyo hutokea mara chache kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom