University Examination Regulations kwa Vyuo Vikuu hapa nchini ni jipu lililosahaulika(Sio uniform)

Wewe nadhani hujanielewa.Kuna vyuo bora na vikongwe lakini baadhi ya examination regulations zake ni rahisi kuliko hata vyuo vya private.

UD kwa mfano,ukifeli kozi 3,4 hata 5 katika semister moja ya mwaka wa masomo huwezi kurudia semister hiyo ila kuna vyuo vidogo vya binafsi ukifeli kozi 3 tu katika semister moja hata kama una GPAZ ya 3.5 katika matokea ya semister unarudia semister.
Kasome "university charter" ya UDSM na vyuo hivyo vingine pia pitia prospectus ya kila chuo husika pasipo kusahau malengo ya vyuo hivyo ndio uje hapa tujadiliane,, wewe ni mwanafunzi sisi ndio tunakufundisha
 
wewe utakuwa huna hela wewe mada za kitaaluma unaleta habari za chura nenda baharini huko! shiiiiit
Nilikuwa naenda kwenye point ya msingi........ukizingatia si wengine hatujasomea degree zetu vyuo vinavyotoa degree za nyukiiii
 
Nilikuwa naenda kwenye point ya msingi........ukizingatia si wengine hatujasomea degree zetu vyuo vinavyotoa degree za nyukiiii

degree za nyuki ila asali unaipenda nyuki ndo huwapendi? unajipa stress za bure wewe kwakuota chuo ulichosoma
 
Mada nzuri..
Umenikumbusha IFM miaka hiyo.. ukifeli zaidi ya nusu ya masomo ya semister moja unadisco hata kama masomo mengine hayo ulikuwa na A's..
Pia ukisupp Core Subject ukishindwa kusapua unadisco hakuna kucarry..
Pia nasikia kuna vyuo vingine mtu aliye carry somo akifaulu kwa ufaulu wa "A" anawekewa "A" na ndiyo inatumika kucalculate GPA.. ila IFM ukicarry somo hata upate 100 unawekewa "C" hatari ilikuwa pata shika nguo kuchanika...
 
Back
Top Bottom