Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Ukweli Usiofichika Ni Kwamba Zanzibar ina Wasomi Wakubwa na Wataalamu Wa Kila Namna ila Kama Nilivyozungumza Mfumo Wa Elimu Zanzibar ni Mbovu unaojengwa Na UKADA na wala si Taaluma!!Mikoa yenye asili ya kiarabu na dini ya kiislamu huwa hakuna wataalamu kabisa.
Mkuu hebu eka unaloliamini Pembeni na Uniambie Kwakweli Je ni UNIVERSITY GANI TANZANIA iliyokuwa Haina WAZANZIBARI/WAMADRASA??
Je ni UDSM? KCMC? MUHIMBILI? UDOM? IMTU? au Kipi??
Je Hapo Tz Bara Hapana Wataalam MAPROFESA, PHD na MASTERS ambao ni Wazanzibari??
Sasa Kwanini Hao Wanafunzi Waliomo Vyuoni na Hao Wasomi Wanaoitumikia Tanzania Bara Wasije Zanzibar??
Kwanini Wazanzibari Wengi Ni Wahadhiri Nje Ya Nchi Kama Vile Uganda, South Africa nk na wanakataa Kuja Zanzibar mpaka waletwe Kisiasa Kama Alivyoletwa Prof Mnyaa na Prf Rai??
Hii Ni Sababu Kuwa Zanzibar Haihitaji Wasomi wala wataalamu Bali inahitaji MAKADA.
Wewe umeona wapi Mtu Kuwa Diploma Holders Akawa Principal Wa Shule Ya Advanve?
Kila Mwaka Wahitimu Mbali Mbali Wa Kizanzibari Wanagraduate Kutoka Vyuo Vikuu Mbalimbali Tanzania Nzima Lakini Hakuna Hata Mmoja Anaerudi Zanzibar why??
Hili Hamlioni Kuwa ndiyo Tatizo kuu la Wazanzibar Kufeli Kwa Kutokuwajali Wasomi??
Haya yote Yanasababishwa na Siasa Za Undumilakuili za CCM tanzania Bara Kuwafanya Watu Wa Unguja Waamini Kuwa Wazanzibar Waliowengi Hasa Wale Wenye asili ya Pemba Kuwa Ni Descendants Za Wakoloni Kwahiyo Wasiwape Nafasi Hata Kama ni Wenye taaluma, Bali Wawape Nafasi Wahafidhina Hata Kama Ni Pumba tupu Wakati Ni Makada hamna tatizo.