kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,814
- 6,514
View attachment 496344
Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? Au history, geography ni sayansi?
Nani alikosea katika kupanga hayo majina ya mwisho ambao wanaonekana ni walimu wa arts na biashara? Au ni watoto wao walikuwa wanaamini majina 3 matatu kwenye majina 3000 hayataonekana?
Sitaki kuamini, kuwa walikosea kwakuwa utaratibu wa upangaji hakuna walimu wa sayansi walioenda shule moja walimu wawili lakini hapo inaonekana walimu watatu wamepangwa shule moja ya OMUMWANI ambao wawili wa arts na mmoja wa sayansi na mwingine wa biashara kwa masomo ya book keping na commerce kupangwa BUKOBA SEC.
Sisi wengine vepeee au tutafute refariis kama hao wenzetu. Serilkali ni yetu sote.
Simbachawene au Kairuki unatuambia imekuaje hapo?[/QUOTE
Bora walimu mcheki fursa nyingine mwaka wa tatu huu utashtukia 2020 hiyo, hakuna namna sasa