bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,958
Huyo ni Tausi dume!
Kumbe ndo maana wanaitwa peacock,cock ni jogoo. Ila ndo shemeji yetu huyoNa kweli. Hajui kuwa huyo kiumbe ni 'jogoo'... Jike huwa hana ma urembo ya hayo manyoya. Majike wako 'flat screen'...