Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,653
- 1,585
Hello my people,kama tujuavyo kila mwanadamu ana hasira by nature hasa pale anapokwazwa na mtu au jambo fulani ambalo halimpendezi.
Binafsi nikiwa na hasira huwa naenda kulala nasinzia nikija kuamka walau zimepungua, au kama mtu akijua amenikera basi asiendelee kuongea.
Je wewe una-handle vipi hasira zako pindi unapokasirishwa na mtu au situation yoyote itakayokufanya ukasirike?