Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,636
- Thread starter
- #41
Hilo la mkaa wa moto na kwa mujibu wa simulizi unaweza ukautumia kwa wiki nzima au zaidi. Hilo la mauzauza sina utaalamu nalo sana, hilo labda mshana jr na magwiji wengine humu watatusaidia.Mimi leo nimeshindwa kulala tangu saa saba kwa mana huku kimara umeme imekatika mpaka saa kumi na moja hii haujarudi.
Mimi kuna kitu kinakuja naona kama ananizuiya kujitetea hata kwa kipiga kelele..
Nakuwa Na hisia ya kuona vitu kama vidole vya mikono ambavyo vinakuwa katika mfuno kama ushikwavyo mpira wa basketball.
Katikati ya mikono hiyo vinatokea vitu kama nyota au mngao wa vitu vingi vingi au mwanga kama wa kioo. Then ananigeukia na kuninyooshea kidole anayo weak., sasa sijui nini kinakuwa hivi., ikanibidi nirudi jamvini kuisoma hii mada vizuri kwani nilioona nikawa sina muda nayo.,
Swali langu hilo kaa la moto baada ya kulitumia leo kesho tena linatumika au kila siku jipya lina hitajika ..?
Ushauri wangu shikilia Imani, Mungu wako atakusaidia zaidi.