Unasema hakuna hela???nenda Tabata kaone mafuriko ya bar

Ilikuwa Lazima Sinza Ife Kifo Cha Mende..Rais Ameiwenga sana kila kiapo alikuwa anatoa mfano Sinza
 
Jana nilikuwa ile club karibu na fantassy kituo cha daladala segerea, nusura nimbake demu fulani, yaani wapo uchi uchi kwa 75 %, naomba uchi anataja dau kubwaa mimi mfukoni ni elfu 25 tu. Nilipatwa na hasira
Alitaja ngapi mkuu ili wengine tujipange kama tutaweza ?
 
Jana nilikuwa ile club karibu na fantassy kituo cha daladala segerea, nusura nimbake demu fulani, yaani wapo uchi uchi kwa 75 %, naomba uchi anataja dau kubwaa mimi mfukoni ni elfu 25 tu. Nilipatwa na hasira
Papaa nielekeze vzr walipo hao wadudu wasiopenda joto
 
Yaani hizo bar tatu sijui nne ndio kunatisha?!! Njoo George and Dragon, Didi's, Jacky's, Samaki Samaki, Elements, Wantashi, Club Next Door uone kunavyojaa kuanzia saa saba usiku....huo ni mtaa mmoja!

Ni kweli kabisaaaaaa. Labda siku moja nitakuona, si umesema unapenda kutoka mwenyewe ha ha ha haaaa. Nitakusalimu kwa kukuita jina nikiona umekaa kialosto alosto.
 
Yaani hizo bar tatu sijui nne ndio kunatisha?!! Njoo George and Dragon, Didi's, Jacky's, Samaki Samaki, Elements, Wantashi, Club Next Door uone kunavyojaa kuanzia saa saba usiku....huo ni mtaa mmoja!

Masaki
 
Hii inaitwa Mwana ukome..Tabata mmetisha..mnapata hela wapi wenzetu..bar zimetapika..40/40..pale Tabata bima..njoo the great park pale barakuda ni nyokooo..hata sehem ya kisigino hakuna.

Pita kwetu pazuri..sisimizi hapati nafasi hilo nyomi lake....nenda STK Kinyerezi.. Aibuu...pita makhirikhiri segerea hapafai..nyomi sijapata kuona tangu tunapata Uhuru

Kulikoni wenzetu hii hali ngumu kwenu haipo..tunashukuru mungu wingi wenu mnaturahishia sie kupata midudu washa yetu(Dada poa)maana hao wametapika sasa huku Tabata.

Kijana hamia Tabata. Coz ndo habari ya mjini..maisha rahisi bar zinajaa

KB
4040
MICASA
THE GREAT LOUNGE
TOROKA UJE
NDERINGO
GBF
KWETU PAZURI
FANTANCY
STK
BL PARK
 
Back
Top Bottom