Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,078
- 3,993
KAZI KWAKOYawezekana ni katika mabadilishano/mizania/mlinganyo/kipimio.And,after all(afutaroo),what's better than money?
KAZI KWAKOYawezekana ni katika mabadilishano/mizania/mlinganyo/kipimio.And,after all(afutaroo),what's better than money?
Noted.....Hela haifichiki.There's a whiff of money.Money talks even if in a hideout.And,women have got very sharp nostrils to sniff the whiff of money,mkaldayo!
INAWEZEKANA WAPO WATU NAWAFAHAMU PHYSICALLY WANAISHI HIVYONoted.....
Hivi kweli inawezakana mwanaume akawa na fedha nyingi akaweza kukaa mbali na hawa viumbe(wanawake)???
Starehe yao kubwa hasa ni nini?? Ili pesa uifurahie zaidi inahitaji uwepo wa mwanamke mfano: vacation, outing, tour, clubbing n.k???INAWEZEKANA WAPO WATU NAWAFAHAMU PHYSICALLY WANAISHI HIVYO
STAREHE YAO VILEVIStarehe yao kubwa hasa ni nini?? Ili pesa uifurahie zaidi inahitaji uwepo wa mwanamke mfano: vacation, outing, tour, clubbing n.k???
😂 😂.... Kwamba wanakula tungi tu bila mademu au???STAREHE YAO VILEVI
Labda akiwa "Hanisi Maftah"!Noted.....
Hivi kweli inawezakana mwanaume akawa na fedha nyingi akaweza kukaa mbali na hawa viumbe(wanawake)???
Kabisaaa....Labda akiwa "Hanisi Maftah"!
Kuna watu ni impontents na wengine masharti ya waganga.Starehe yao kubwa hasa ni nini?? Ili pesa uifurahie zaidi inahitaji uwepo wa mwanamke mfano: vacation, outing, tour, clubbing n.k???
Daah... Hiv mtu akiwa imponent naye anakuwa na hisia za mapenzi kama wengine?Kuna watu ni impontents na wengine masharti ya waganga.
Kisayansi sijajua hilo.Ila kuna mmoja ni above 45 years anapenda pilau balaa.Daah... Hiv mtu akiwa imponent naye anakuwa na hisia za mapenzi kama wengine?
Au wengi wao ndo hao wanajiingiza kweny ush*ga???
Hili ni kubwa kuliko! 😁 😁Kisayansi sijajua hilo.Ila kuna mmoja ni above 45 years anapenda pilau balaa.
UTAULIZA WATU DEMU WAKE NI YUPI KILA MTU ATAKWAMBIA YULE NI MLEVI HATUJAWAHI KUMWONA DEMU WAKE TANGU TUMJUE😂 😂.... Kwamba wanakula tungi tu bila mademu au???
Ulevi wa pombe unaenda sambamba na mademu hasa uwenazo mfukoni za kutosha yaani zile sifa zote utakazofanya lengo mademu wakuone tu!!!UTAULIZA WATU DEMU WAKE NI YUPI KILA MTU ATAKWAMBIA YULE NI MLEVI HATUJAWAHI KUMWONA DEMU WAKE TANGU TUMJUE
HahahhNa kuna wanawake mnaweza kaa hata miezi 6 hajawahi kukutafuta. Siku mchongo wako ukitiki tu muamala ukaingia kwenye akaunti unashangaa nayeye ndio siku hiyo anakutafuta na kuanza kukulaumu kwanini siku hizi humtafuti amekumiss.