Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 3,064
- 9,316
Matajiri wa Jf najua mnajionea kwa wenzenu waliona sio mbaya wapendelee nafsi zao na kukuza status zao kwa kutembea na watoto wakali wa mjini.
Ila leo hao slay queens wameanza kuonesha rangi zao za ukweli. Wanataka mali zote. Wanataka kile walichokiona kwako ile mara ya kwanza tu ulivyo mwambia mambo.
Mwenzako yeye anakuona kama noti ya elfu kumi mpya inayotembea alafu unategemea yeye haujali utu wako.
Utu wako aliujali yule demu aliekukuta kiatu umeshona shona kila kona.
Anyway, point yangu ni kwamba pale unapokuwa na mali nyingi sana vyote utakavyo miliki au kuwa navyo around ni kwa sababu umeweza kuvinunua au nguvu yako ya fedha imeweza kuzivuta.
Watakupigania sana ila sio kwa sababu ya roho na utu wako bali watakupigania kwa ajili ya kulinda status yao kwako.
Kumaanisha kuwa, naamini uwezekano wa kupata fake love ukiwa na fedha ni zaidi ya asilimia 80.