Unakumbuka nini kuhusu Mgomo wa Madaktari mwaka 2012?

Nilikuwa form 5 at the time.,,,,, nilikuwa namiliki Nokia express music, tunakomaa na opera mini kuingia mitandaoni, Facebook ndo ilikuwa inapamba moto ! Jf nilikuwa naingia tu as a guest, nilikuwa sijui hata namna ya kujoin ili uwe member, nilikuwa nawaonea wivu watu wanavyojadili mijadala hot hot ! Kipndi hicho nakumbuka nilikuwa sikosi taarifa ya habari kila saa 2 usiku kwenye bwalo la shule,,,,nilikuwa natoroka prepo ! Time flies ! Member maarufu jf nilikuwa nawasoma enzi hizo ni pamoja na mshana, watu 8, the boss n.k!
 
Madaktari na manesi wasenge sana mwaka huo almanusra wamdedishe dogo mtoto wangu bahati nzuri Nesi mmoja nafsi ikamsuta akamsaidia Wife kujifungua
 
namkumbuka huyu bwana a kaseja alifanya tukio la kutisha Derby anapiga chenga mchezaji wa Simba hapo katokea simba aisee
 

Attachments

  • Screenshot_20241017-190914_Lite.jpg
    Screenshot_20241017-190914_Lite.jpg
    484.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241017-190922_Lite.jpg
    Screenshot_20241017-190922_Lite.jpg
    481.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241017-190920_Lite.jpg
    Screenshot_20241017-190920_Lite.jpg
    460.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241017-190918_Lite.jpg
    Screenshot_20241017-190918_Lite.jpg
    499.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241017-190917_Lite.jpg
    Screenshot_20241017-190917_Lite.jpg
    489.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241017-190914_Lite.jpg
    Screenshot_20241017-190914_Lite.jpg
    484.4 KB · Views: 1
Licha ya wajuba kumshushia kibano kitakatifu kiongozi WA mgomo, lkn yamefanyika mageuzi makubwa sana kwenye sekta hiyo na nyingine.

Ili mbegu iote lazima ioze.
 
Kuna haka kapumbavu ka SATIVA. kanafikiri kenyewe ndo ka kwanza kunyukuliwa..
Katulize tako..
Kuna wapumbavu kule x wanakajaza upepo
 
Yupo wapi mkuu?
Nako pia kuna madaktari

Unapotukana doctor au nurse ni kama unakua na ubwege fulani

You need them till your burial day…. They will stick that death tag kwenye kidole chako , they will stick their depressors on you tongue and bend you over the way they want

Don’t disrespect doctors
 
Nako pia kuna madaktari

Unapotukana doctor au nurse ni kama unakua na ubwege fulani

You need them till your burial day…. They will stick that death tag kwenye kidole chako , they will stick their depressors on you tongue and bend you over the way they want

Don’t disrespect doctors
Do I disrespect anyone here?🤔
 
Back
Top Bottom