makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 30,654
- 89,712
Huna baya ndugu yangu, ngoja hali ikae sawa tuagize turbo ya ile combo yetu.
Ilizingua turbo? Duh pole?Huna baya ndugu yangu, ngoja hali ikae sawa tuagize turbo ya ile combo yetu.
Imezingua, wakati mwingine inapoteza nguvu hasa kwenye vilima japo kuna wakati inakua na nguvu freshIlizingua turbo? Duh pole?
Aiseeee....Imezingua, wakati mwingine inapoteza nguvu hasa kwenye vilima japo kuna wakati inakua na nguvu fresh
Hiyo siwezi kupata mkuu...Gear box ya 3sge hela ngapi mkuu?
Engine code?Gearbox VW POLO 2005 YEAR
Siwezi kupataNatafuta hiyo show na saa(odometer) ya carina ti
Hapa kuna code?Engine code?