Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,381
9,734
Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights.

Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo ni nafuu sana.

Ni nafuu sana hasa ukilinganisha na bei ya spareparts ambayo utaambiwa ukiingia dukani hapa mjini.

Ninayo access ya spareparts mpya pamoja na za mtumba. Zipo spareparts nyingi sana hasa za gari za Ulaya mathalani BMW, VW na Audi.

Hata za magari mengine zipo lakini siyo kwa kiasi kikubwa kama hizo nilizotaja hapo.

Spare parts zipo za aina nyingi kuanzia Spark plugs, Ignition coils, Catalytic converters original za gari husika, Brake pads, Disk rotors, Batteries Original, Top covers, Sensors, Alternators, Stater motors, Headlights, Brake boosters, Master cylinders, Intake manfolds, Air filters, Oil filters, ECUs, n.k. siwezi kumaliza kumention.....

Mfano

Cat conveters BMW N55
IMG_20230512_175004.jpg

Disk rotor za subaru
IMG_20230512_174644.jpg

Headlights za E90 bmw
IMG_20230512_174336.jpg

Control box (ECU) ya N46 BMW
IMG_20230512_174151.jpg


IMG_20230512_173602.jpg

Ignition coils original za BMW N46 huu ni mtumba ila ni Original za Bosch.
IMG_20230512_173210.jpg


Picha zaidi zinakuja.

Kwa spare parts nyepesi utapata ndani ya siku 10 mpaka 14 na mara chache kukiwa na delay basi ni mpaka siku 21.

Kwa spare parts nzito za magari, zitachukua muda mara nyingi mwezi na nusu au miwili kabisa.

Ofisi yetu iko Dar es salaam, Sinza, Kijiweni.

0621 221 606.
 
Back
Top Bottom