Unahisi ni sababu ipi zaidi inayofanya ndoa nyingi za vijana kuvunjika?

Uvimilivu wa Bibi zetu na hawakuwa na Choice bali kukaa kwenye ndoa hata kama inaweza kusababisha kifo chake (Till Death do Us Apart)

Bibi zetu wangekuwa na options ambazo vijana wa leo wanazo Amini nakwambia kwa visirani na Dhahama za Babu zetu ndoa nane katika Kumi zisingedumu.....
 
Ndoa ni maridhiano baina ya mtu(mme) na mtu(mke) kisha yakaidhinishwa ama kukamilishwa kwa sheria ya dini, kiserikal ama tamaduni. Suala la kuvunjika ndoa nyingi za vijana limekuwa ni kawaida siku hzi, unahisi ni sababu gani kati ya hizi ambayo imezidi?
  • Ukosefu wa elimu ya ndoa
  • Matumizi ya simu
  • Mmong'onyoko wa maadil
  • Kukosekana uadilifu katika ndoa
  • Uzinzi
  • Kupungua uvumilivu katika ndoa
  • Tatizo la afya ya akili.
changamoto za kiuchumi ni asilimia 90 hayo mengine ni ya ziada tu!
 
Ndoa ni maridhiano baina ya mtu(mme) na mtu(mke) kisha yakaidhinishwa ama kukamilishwa kwa sheria ya dini, kiserikal ama tamaduni. Suala la kuvunjika ndoa nyingi za vijana limekuwa ni kawaida siku hzi, unahisi ni sababu gani kati ya hizi ambayo imezidi?
  • Ukosefu wa elimu ya ndoa
  • Matumizi ya simu
  • Mmong'onyoko wa maadil
  • Kukosekana uadilifu katika ndoa
  • Uzinzi
  • Kupungua uvumilivu katika ndoa
  • Tatizo la afya ya akili.
Kipato Kipato Kipato. Vijana wengi wa sasa hivi ukiondoa stress nyingine za ndoa ila financial ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza.
 
Ndoa ni maridhiano baina ya mtu(mme) na mtu(mke) kisha yakaidhinishwa ama kukamilishwa kwa sheria ya dini, kiserikal ama tamaduni. Suala la kuvunjika ndoa nyingi za vijana limekuwa ni kawaida siku hzi, unahisi ni sababu gani kati ya hizi ambayo imezidi?
  • Ukosefu wa elimu ya ndoa
  • Matumizi ya simu
  • Mmong'onyoko wa maadil
  • Kukosekana uadilifu katika ndoa
  • Uzinzi
  • Kupungua uvumilivu katika ndoa
  • Tatizo la afya ya akili.
Utaratibu wa zamani wa vijana kutafutiwa wake na wazazi wao au ndugu bado naukubali sana.
Ulikuwa ukifanyika kwa utulivu bila binti kujua.

Siku hizi mnaangalia matako na sura bila kujali tabia wala jinsi walivyo kwao ukweni na tabia zao.

Matokeo yake ndio hayo wanawake Hawana hekima wala subira.
 
Ndoa ni maridhiano baina ya mtu(mme) na mtu(mke) kisha yakaidhinishwa ama kukamilishwa kwa sheria ya dini, kiserikal ama tamaduni. Suala la kuvunjika ndoa nyingi za vijana limekuwa ni kawaida siku hzi, unahisi ni sababu gani kati ya hizi ambayo imezidi?
  • Ukosefu wa elimu ya ndoa
  • Matumizi ya simu
  • Mmong'onyoko wa maadil
  • Kukosekana uadilifu katika ndoa
  • Uzinzi
  • Kupungua uvumilivu katika ndoa
  • Tatizo la afya ya akili.

Wanawake wa siku hizi wana haraka ya kutaka kuolewa ili hali upendo wa kweli na maarifa ya kuishi na mume Hawana .
Wanaroga, wanategesha mimba ili kushawishi Mwanaume aoe.

Lakini uzuri baada ya muda huwa wao wenyewe huwa ndio victims 😆
 
Back
Top Bottom