Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
- Thread starter
- #21
Kama ccm na mazingaombweNa sifa kubwa ya wanasiasa ni unafiki.
Kama ccm na mazingaombweNa sifa kubwa ya wanasiasa ni unafiki.
Membe alimdhulumu pesa zake alizomwahidi Kwa ajili ya kazi ya kumtukana Lowasa , kaamua kususa yupo Kiimya akibuni njia za kumdai pesa yake.Kwani umeshamuona tena Lizabon hapa mtandaoni tena?
Daaaa masikini pole pole naona hata soli ya kiatu chake inazidi kwisha kwa kutafuta umaarufu!Unafiki unalipa, Hamad Rashid kawa Waziri Zanzibar, jamaaa yangu Humphrey Polepole anazidi kusaga lami tu mara ITV mara Chanel 10 mara Startv,
Lakini Luten Kanali Likvol Shekvov mkufunzi wa tabia na hisia za kibinadamu katika chuo cha majasusi cha Russian Federal Security Service anabainisha kuwa hulka za kibinadamu huathiriwa na unafiki, lakini unafiki usio na bughudha "unaolipa zaidi" ni ule ufanywao na wazee.
Kwa kijana utakabiliwa na changamoto kubwa katika safari yako ya maisha.
Na: Yericko Nyerere
Mpigie atakwambia jina lake, yule ni kiboko ya maccmhivi jasusi la ufipa yerico jina lake halisi nani vile
Vilevile ukiwa ngiri ni taabu sana maishani mwakoUkiwa Nyumbu ni shida sana
Keshapata siyo?Kwani umeshamuona tena Lizabon hapa mtandaoni tena?
Kwa ccm hutakiwi kuwacha kucheza ngoma yao kisa madaraka,Mkuu yupo Lizabon yupo ila amebadilika si muda wote km hapo a wali, nadhan nikutokana na majukumu aliyoyapa sasa
Alafu yule jamaa hana aibu kabisa, ni aibu sana kwa mwana siasa kuongozwa na mahitaji ya tumboUnafiki ni dhambi kubwa sana kwa Mungu.
Naamini pia adhabu ya unafiki wa Hamad Rashid wa kujifanya kipofu na kuuita uchaguzi wa marejeo wa jecha na CCM yake kuwa ulikuwa uchaguzi huru na haki, hakika adhabu ya unafiki huo uliopitiliza, hautasubiri hukumu ya akhera, bali adhabu yake ataanza kuionja hapa hapa duniani.