Unafanyaje kujizuia kufanya mapenzi na mkeo /mmeo kipindi hiki cha kwaresima?

Mme na mke ni mwili mmoja... chochote chema ukifanyiacho mwili wako kipindi cha kwaresma ni kheri....

Kama unaoga, unanawa, unapiga mswaki, unanyoa nywele basi na vingine vyote ambavyo si dhambi ni ruksa kwako.

Tendo la ndoa ni tendo takatifu. Ila uzinzi na uasherati ni machukizo na dhambi mbele za Mungu.

Kwaresma unaruhusiwa kufanya tendp takatifu la ndoa... Ila uzinzi na uasherati ni DHAMBI!!

Nadhani umenielewa mkristo mwenzangu.
Asante mkuu
 
Tendo la ndoa halipendwi... tendo la ndoa ni wajibu... kama ilivyo kuoga na kupiga mswaki...

Hivi unajua ukifanya tendo la ndoa... wakati unafikia mshindo (mwanamke) malaika wanasimama na kupia makofi kushangilia kumpongeza mwanaume??

Hapa nazungumzia tendo la ndoa, sio Uzinzi wala uasherati.
hili ndilo neon la shemeji!
MAMBOYA TENDO LA NDOA NA KWARESMA VINA UHUSIANO GANI!
 
wanajizuia hiv mke anashinda kanisani muda wote na mume yeye anashinda ana bet tu na kusuka mkeka wa miakaa miaaa
 
Huo sasa mtihani! Hapa tutaongopeana,watu watahamia kwa michepuko maana haimjui Mungu.......
 
Nitarudi kanisani kuwafundisha hawa vijana... inaelekea walikariri mafundisho...
kwa kweli!
KUNA MAHALI KUNA KITU KINAPASWA KUFANYIKA!

usikute kweli kuna watu wamehama vyumba kabisa ati hii ni KWARESMA!
 
kwa kweli!
KUNA MAHALI KUNA KITU KINAPASWA KUFANYIKA!

usikute kweli kuna watu wamehama vyumba kabisa ati hii ni KWARESMA!
Wanahama vyumba afu wanahamia gesti kisirisiri...

Wanamfanya Mungu mtani wao...
 
Tendo la ndoa halipendwi... tendo la ndoa ni wajibu... kama ilivyo kuoga na kupiga mswaki...

Hivi unajua ukifanya tendo la ndoa... wakati unafikia mshindo (mwanamke) malaika wanasimama na kupia makofi kushangilia kumpongeza mwanaume??

Hapa nazungumzia tendo la ndoa, sio Uzinzi wala uasherati.
aah babuu
 
Back
Top Bottom