Viroba vimeleta majangaSasa hivi wanatetea majipu
Wabunge wengi wa upinzani walizoea sana kukusanya kura kwa kutafuta sifa za hovyo bungeni na si kwakuwatumikia wapiga kura,sasa kama kasi yao ni nzuri inakuwaje wanazuia waandishi wa habari kutupa kile kinacho endelea bungeni